Mapungufu ya kikosi cha Simba SC 2023/24

Mapungufu ya kikosi cha Simba SC 2023/24

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Habari wanamichezo.

Nimeangalia mechi 2 za Simba SC. Simba vs Singida na Simba vs Yanga.

Timu ya Simba ina mapangufu katika nafasi hizi:-

1. Golikipa.

2. Beki wa kushoto "left back".

3. Beki wa kati (Simba wanahitaji kua na beki wa kati anaye tumia mguu wa kushoto "left footed center back")

4. Kiungo mkabaji (Simba haina kiungo mkabaji asilia, labda kwakua sijamuona Abdallah Hamis akicheza. Ngoma sio kiungo mkabaji wa kumtegemea naona amekuja kuziba nafasi ya Kanoute)

5. Simba haina mshambuliaji mahiri wa kati "center forward".

Nyongeza: Kumchezesha Chama na Saido Ntiba kwa pamoja ni mzigo kwa timu.

Ni mtazamo wangu
 
HAYA NILIYASEMA MDA MREFU SANA

1. Simba Tangu AMEUMIA Manura na kakolanya miezi karibu 6 hawana Golikipa No 1 Wala No 2.

2. Walishindwa KUMSAJILI YAHAYA mbegu Kumchallange shabalala kwenye No 3.

3. Wameshindwa KUSAJILI Beki wa maana Kumchallange Inonga na MAlone.

4. Hawana kiungo NO 6 MKABAJI.

5. Hawana MSHAMBULIAJI WA kumchallange Baleke.

BADALA YAKE WAMEJAZA MAWINGA 10.

Alex FERGASON ana sema safu Bora ya ushambuliaji itakupa MAGOLi, safu Bora ya ULINZI itakupa mataji.
 
.
UAJIULIZA ANAYEFANYA USAJILI WA MAWINGA ANAAKILI TIMAMU KWELI?????????

Mawinga. 2023
1. Peter Banda.
2. Jimyson Mwinuke.
3. KIBU Denis.
4.Said Ntibazonkiza.
5. CLOTUS Chama 10-11.
6. Aubin Kramo.
7. Essomba Onana.
8. Luis Miquesson.

Hili KOSA lilifanyika 2020.
Mawinga walikuwa kumi, ukiunganisha idadi Yao mchango WAO MAGOLi hayafiki hata 10.

1 Bernald Morison.
2. Perfect CHIKWENDE.
3. Hassan Dilunga.
4. Ibrahim Ajibu.10--⁷
5.peter Banda.
6.pape sackho
7. Dunkan Nyoni
8. Valentine Muhilu.
9. KIBU Denis.
10. RALY BWALYA 8-10--11.
.
UNAJIULIZA HUU USAJILI UNAFANYWA NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU KWELI
 
Habari wanamichezo.

Nimeangalia mechi 2 za Simba SC. Simba vs Singida na Simba vs Yanga.

Timu ya Simba ina mapangufu katika nafasi hizi:-

1. Golikipa.

2. Beki wa kushoto "left back".

3. Beki wa kati (Simba wanahitaji kua na beki wa kati anaye tumia mguu wa kushoto "left footed center back")

4. Kiungo mkabaji (Simba haina kiungo mkabaji asilia, labda kwakua sijamuona Abdallah Hamis akicheza. Ngoma sio kiungo mkabaji wa kumtegemea naona amekuja kuziba nafasi ya Kanoute)

5. Simba haina mshambuliaji mahiri wa kati "center forward".

Nyongeza: Kumchezesha Chama na Saido Ntiba kwa pamoja ni mzigo kwa timu.

Ni mtazamo wangu
Watakupopoa na mawe wafia timu, wamebeba ubingwa wa ngao, ivyo awana mapungufu yoyote, wanayo timu imara ya kushindana popote, waache na timu yao muda ni mwalimu mzuri!
 
Back
Top Bottom