Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma




umetumwa ehhh!?

Njaa zitakuua ----- wewe#
 
We Unajua Sababu Ya Fa Kuita Mwanafatuma? Fa Kwenye Twitter aliandika shoo ya jd ni FUND RISER] kabla ya kuitwa mwanafatu wewe unajua maana ya fund riser? wewe unasema akabizi vijiti kwa recho na mwasit kwani we nani? ULIONGEA NA MASHABIKI WA JD WAKAKUAMBIA SASA ANATAKIWA AKABIZI VIJITI? USHAURI WAKO WA KINAFIKI na kwanza huna credibility ya kumshauri mtu , MWISHO TAMBUA ANACONDA does not has fans, she has followers] kwa hiyo wewe kama shabiki ka pembeni wafuas wake tupo naye pamoja awe juu awe chini kwenye gem bado tutamkubali hata kama hatakua juu tena bado tutakua naye bega kwa bega, we tumika kama vuvuzela kupaza makele tu humu jf ila waafuasi wa team anaconda tuona sasa timu inapiga hatua na mapambano yanaendeleaaaaaaaaa au yote sababu ya.... joto hasira...
 

Mapambano gani yanaendelea,kumbe mnapambana?hamfanyi muzik ni mapambano,muzik wa marumbano hauna tija,na nani anatumika kati yangu na wewe??,nilishasema tangu mwanzo,simsapoti hata mmoja hapa ila napiga lugha za matusi katika mitandao,je vile viapo na matusi we vinakufundisha nn ama unafuata upepo??.simamia msimamo wako usisapoti kila kitu hata vya kipuuz. Hawa ni wasanii so wanapokosea lazima kama unawapenda basi uwashauri hata kwa maneno makali sio uone sawa tu kila kitu na kusapoti.wakipatana we utasimamia upande gani sasa ??
 

We mbona unakwepa maswali ya msingi anza kwanza kutuambia [fund raising] maanake nini? na utamshauri Vipi mtu wakati ujui chanzo cha tatizo ? ndo maana nakwambia huna credibility ya kumshauri mtu, hata kama wakielewana wasipo elewana me bado nitakua mfuasi wa JD, jibu kwanz yale maswali ya msingi ndo twende sawa usikwepe kuanza kuzungumzia viapo vya JF
 
mtangoja sana jd kukabidhi kijiti kwa huyo recho+mwasiti.ni bora wakachonga vya kwao.
 
Tuache unafiki kwa kusema Jide hana mausiano mazuri na wasanii wenzake mie nadhani Jide ndie mwanamuziki aliyeshirikiana na wasanii wengi Bongo.

Hao kina Jay na Nature ndio waliomsindikiza kwenye tamasha lake lililowapindua na kukata kelele za wafu fm

Huwezi kumfananisha Linah (muuza unga) na Recho na Jide hata kwenye maojiano Linah anakiri kuwa Jide ni nouma sikiliza kibao kipya cha Rama Dee na Jide kinaitwa Kama Huwezi kisha kaoge ulale
 

Hapana sijakwepa swali naelewa maana ya fund riser ndo mana nikakujibu kwa undani japo ujue namaanisha nn na sio kwamba nimekwepa swali.
Ni kwaida sana kwa wasanii kupigana vijembe na kisanii hasa katika musik,tunasikia mara kibao hata nje haya mambo yapo.Wasanii wetu wanajaribu kuiga vitu kama hivi japo huwa cinawacost na wengine hupotea kabisa katika game,mifano ipo mingi na sithan kama kuna haja ya kutaja mmojammoja.Kwa levo ya hapa huko tz sidhan kama hatua hiyo imefika maana ndo kwanza muzik unakua.

Kijembe alichokitoa mwana Fa,ni cha kisanii zaidi na inahitaji uelewa flani ndo mtu wa kawaida ajue nn alimaanisha,huo ndo usanii.Ukimwambia mtu yeyote pale mwenge ama kariakoo nini maana ya ""FUND RISER"" unaweza usipate jibu kabisa maana,wanaweza wasijue,lakini ukimuuliza nn maana ya MWANAFATUMA,jibu utapata hapo hapo,sasa alichofanya jd ni udhalilishaji,wa waz na tusi kwa mwana fa,maana kamfananisha na mwanamke ndo mana kuna komment moja niliwahi kusema kwamba jide hana busara na anatawaliwa na hasira za karibu.kama umepigwa kijembe kisanii nawe tafuta njia ya kumjibu mtu kisanii,na ndo mana ni wachache sana hapo tz wanaojua kwamba mwana fa alianza kumpiga.kijembe jd.wengi wanajua jd alimwita mwana fa mwanafatuma fullstop. Sijui kama unanielewa??.labda kama humjui vizur huyu dada, fuarilia mambo yake ya hivi karibuni alipoanza hadi kuweka picha za majeneza katika mitandao(anaiga),kuna baadhi ya watu eti walikuwa wanamsapoti kwa kitendo hicho,mara akasema anafanya sex usiku na majini mahaba,mara akifa nani na nani wasije,

Jd anapata stress baada ya kuona tention ya media inahama kwake na kwenda kwa chipkiz,hapa ndo anachanganyikiwa kabisa.msiwe waoga wa kukosoa mtu hata kama mna mpenda.na mumwambie sio lazima kila anachofanya shughuli za wengine zisimame,kwani ye nani?? Kama ulivoniuliza hapo juu kwamba mi nani nawe muulize ye nani mpaka kila mtu ampishe??
 
Kumbe ye FA ndo alikua mchokozi eeeeeeh, sasa uko kudhalilika alijitakia mwenyewe na JD sio mtu wa kwanza kumdhalilisha kama wewe unavyodai huyu FA kafanyiwa, SUGU alishawahi kusema FA ni condom inayotumiwa na ru-gay, kwa iyo wewe ule uliona sio udhalilishaji? mbona wasanii weng tu hapa wameitwa majina ya KIKE wenzao na wametungiwa mpaka nyimbo au ule sio udhalilishaji, MF; NEY sikuizi weng wanmuita NEEMA, kasikilize pombe yangu ya madee, nyimbo ya CHID BENZ, neema wa mitego by NICK MBISHI, au we unalako jambo kwa anaconda? we unafikiri NEY alichofanya si dis tu za kimuziki kwa wenzake kina NICK, CHID BENZ, MADEE lakin mbona wamemdhalilisha vile? we unaonekana unayako kama ulipwi sijui , UNAZUNGUMZIA HABAR ZA MAJENEZA ambazo haziusiani kabisa na FA kuitwa mwanafatu, hayo yalikuwa yake binafsi pamoja na wafuasi wake sio lazima wewe kila kitu anachofanya kikufurahishe , SIKU NYINGINE MWAMBIE HUYO FA aache kupalamia watu au kutumika KU-SAFE INTEREST ZA WATU FULANI ataendelea kudhalilika , yahaya unaishi wapi....
 
NGOJEA nikujibu tena kwa mara ya MWISHO , we unauhakika ye kila anachofanya anataka apishwe? JD kabla ya kufanya shoo yake ya miaka 13, Kabla ya kuandika usia alikua akiongea na GADNER, akamwambia yani tukipanga tu shoo yetu kuna maadui nao watapanga siku ile ile, GADNER alimwambia we panga tu na tangaza hiyo tarehe kwan kila mtu anamashabiki wake na kila mtu anauamuz wa kwenda akupendapo, hivyo JD awez kumzuia mtu kufanya anachotaka , YEYE HUAGA ANAMEZA WALE WAOTUMIA MGONGO WAKE KUJIPATIA UMARUFU, siwez tena kubishana kuhusu jd coz naona huna point za msingi kutuonesha kwamba jd ndo anamakosa sana kuliko binadam wengine hapa dunian, JD unayesema hana ushirikiano kashafanya nyimbo mpya na rama dee, joe makin(bado haijatoka) na nilimuona kwenye dialy yake akiandaa kaz na Q-chilla mwisho tupate burudan yahaya unaishi wap.... nyumba namba ngap ... Yahaya Weeee , Oh Yahaya Oh Yahaya... Kwa Kujifanya Mshauri Yahaya Namba moja, anashinda jf kubishana bila hoja, kazi yake hatujui wap , sijui analipwa shingap?
 

Mbona unaimba taarabu badala ya kujibu hoja?,ukitaka kuona mtu kaishiwa pointi za kuimba sikiliza nyimbo zake,ni majungu tu,badala ya kuelimisha na ndo kinakuponza hata wewe ambaye uko tayar kushabikia bifu zisizo na tija..,Yahaya ni wewe ambaye nahis hata hujui unapoishi.

Unasema alimuuliza kwanza mumewe !!we ulikuwepo wakati anamuulizawe ni mfanyakazi wa ndani pale kwake mpaka siri zao ukazijua ama unaponzwa na ushabiki wa media na web,??ama interview?hujui kila kitu kinapangwa kabla ama baada ya jambo flani,hujawahi kusikia msanii anasema huu wimbo nilitunga nikiwa kwenye daladala??ama usiku nimelala,na huwa ni baada ya wimbo kuhit?,usikariri kila wakati kijana tumia na akili yako mara moja moja,unamwamini msanii kila anachosema??,unashabikia mpaka ujinga?,kwa nn unashindwa kujikomboa kimtazamo na kifikra??.

Kwa nn unatumia maneno ya kanga kujibu hoja??nina wasi wasi na jinsia yako.umekamilika kweli?,.mi sishindi humu kubishana na watu,bali kutoa hija zitakazoweza kuwabadilisha watu kama wewe ambao hata picha ya ajali wana-like,hawajui wanachofanya wapowapo kila kitu kwao sawa,we unaonekana huwezi kabisa kufikiri na kutoa msimamo wewe kama wewe,kwa nn utawaliwe na mawazo ya mtu.Simsapoti Fa kwa alichofanya wala jide ila napinga kitendo cha jide kutumia media vibaya na kutaka watu wamchukulie umuhimu nakati muda wake umepita
 
We bro mbona povu linakutoka sana , me niliona akiongea na bwana ake katika DIARY YA LADY JADEE inayorushwa eatv, so don think mi nimfanyak kazi wake wa ndani, We uwezi kunibadilisha kabisa sababu sijaona hata point yako ya msingi humu , mbona yahaya imekugusa sana? unawasiwasi na jinsia yangu eeeeeeh , daah poa bhana endelea kuwabadilisha watu fikra zao ila mimi bado kwasababu naona unajiita free den huna Ideas, meng sana nimetoa naona siwez kuendelea kubishana nawe manake umeaanza kupanic, USIPANIC JD anapoendelea kuwa juu, haters never win , Media Gan anazitumia vibaya?, kamiliki ya kwako ambayo utamzuia asitumie, mwisho aina haja ya kuendelea kubishana coz mwisho wa siku nisije nikashusha ugreat wangu kwenye hizi weakthread, oy afu katoa nyimbo mpya na ramadee kaisikilze uendelee kupanic kupitia hii hapa unaweza kupakua inaitwa kama uweez GLM Music - Free | Customized Playlist | Promotion | Downloads na zingine zote zipo za kina joto hasira , yahaya zote zipo kasikilize AMAN NA UPENDO ndo lugha ya tz USIPANICCCC
 
Huo wimbo naujua,na hauna jipya zaidi ya kuenseleza taarabu zile zile za madee na afande sele,wewe sio great maana huwezi kusimama peke yako na kutetea hoja yako na fikra zako bali unakubali kila asemacho msanii umpendaye,nami pia sina haja ya kuendelea kubishana nawe kijna maana naona umepoteza mwelekeo.na hii thread sio dhaifu kama ulivosema em angalia wangapi wamechangia na ina muda gani hapa,
 
aiseeeee babayangu ngoja nisikize nyimbo ya YAHAYA na JOTO HASIRA hapa nikirudi nitatoa mawazo yangu:A S kiss:
 
mtoa mada umetumwa na rugay afu mbna umesema haupo tz na mada yako inaonyesha upo tz
njia ya wadanganyifu daima ni fupi kama vipimo vya chupi.
 
Hata kama shida ni kuelewa lakini si hivyo ndugu yangu english yko ni too broken a anakonda wako asiyekwenda shule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…