wewe ni mwanafa au team wafu fm nyokooo zako sepaa haitajiii maneno yako wala kujikomba..
Kwanza nakupongeza sana mdada kwa kufanya bidii katika muziki na kimaendeleo pia.mimi siko Tanzania kwa muda sasa lakini nafuatilia kwa karibu sana kila kinachotokea huko.Majuzi uliposti katika tweeter na kumwita mwana Fa mwanafatuma.Binafsi skufurahi kwa kuwa sioni sababu hasa ya wewe kumwita Mwana Fa mwanafatuma.Sababu hasa inayo sababisha wewe kumwita hivo ni kwamba unahisi kuwa karubuniwa na CLOUDS FM kukuhujumu kwa kuweka shoo yake siku na tarehe ambayo wewe pia ulikuwa na shoo.Lakini umesahau kuwa msanii hupangiwa shoo na promota lakini pia hutegemea ujira wake kutokana na shoo anazofanya.Ingewezekana vipi MWANA FA kukataa kufanya shoo tarehe 31,kisa wewe unafanya shoo???,kwani we ni nani hapa tz ampaka watu waahirishe mambo yao na kuweka atention kwako????.
Umesahau kuwa hata hayo maendeleo ulonayo umetoka huko ambako mwana fa anapigania kutoka ili miaka ijayo hata yeye awe na mgahawa wake kama wewe???,hakuna siku ambayo wewe umefanya shooo huku msanii mwingine nae anafanya sho mahala pengine??? Hata kama Ruge alihusika kupanga jabo hilo, mwana Fa inamhusu nini ugomvi wenu wewe na Ruge?? mpaka aahirishe kufanya shoo.?Kwa nini unalazimisha mawazo yako yafanane na ya watu wote??????,ugomvi wenu na Ruge usababishe kila kitu kismame??,kumbuka wewe sio mtu muhimu sana hapa tanzania japo una heshima kubwa sana katika muziki wetu.
Yafuatayo ni mapungufu yako jaydee.
1.Unadhani kwamba wewe ni mtu muhimu sana hapa tanzania kuliko wasanii wengine
2.Unaponzwa na kujiamini kusiko kuwa na tija na kudhani kuwa uko sahihi kwa kila unalolifanya
3.Umebweteka na sifa unazopewa na mashabiki katika mitandao ya kijamii na pengine
4 huna mahusiano mazuri na wasanii wenzako maana hata misibani umeanza kuonekana majuzi baada ya kushtukiwa kuwa huwa huendi
5.unashindwa kuamini kuwa sasa wakati wako umeisha na inabidi uwaachie akina recho na mwasiti kijiti
6.Umesahau kuwa na wewe pia ulitoka huko huko kwa Ruge na pia kama ni kuamrishwa ulikuwa unaamrishwa kama akina Fa
USHAURI-
1.Acha kujiona upo sahihi kwa kila jambo.
2.Shirikiana na wenzako katika kila hali sio kujitenga na kuwalaumu kuwa wanakusaliti kumbe wewe una umimi mimi tango kitambo.
3.Usilewe sifa za mashabiki ambao watakuponda baada ya muda ukisha poteza mwelekeo.
4.Nakushauri mwombe msamaha Mwana Fa haraka utavoweza.
wanajamii mnaruhusiwa kuchangia lolote katika hili....,
Bibi kaisha.
Bibi kabaki jina tu

mtoa mada. inaonekana Bado ile dozi ya upendeleo na ujinga bado ujamaliza kwanza inaonesha una chuki na komando swala sio kusema mwanafatuma kwa kuwa sio tusi pili jide sio mungu hivyo hawezi kuzuia ridhiki ya recho na wengineo huo ni umbulula wako ww mtoa mada kwani shabiki halazimishwi kununua cd ya jide na kuacha ya f a. Tumia akili
I'm a world of difference from her because:-
(1) I'm not a struggling musician.
(2) I'm not a confused, frustrated, disgruntled, and paranoid individual like she is.
(3) I'm a dude and she is a dudette.
(4) I'm a blue-collar mbeba box while she's a rinky-dink bongofleva artist/ businessperson.
(5) I'm me and she's her.
Huyu dada HANA adabu na sitavumilia kuona kijana mwenzangu akidhalilishwa kwa sababu tu ya kutoelewana kibiashara!
Ingawaje nilipanga nimtoe bi mdogo out twende kwenye onyesho lake natangaza rasmi NIMESUSIA kama bi mdogo anaenda aende mwenyewe!
Binti usijiingize kwenye ugomvi usioujua,utasutwa!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Katika huu uzi niliandika mengi yaliyomuhusu Huyu mdada Jay dee,lakini kuna watu walikuja na kumtetea hadi wengine wakawa wanatukana.Sasa,Leo hii maneno yangu yametimia kwamba,ANADHARAU KIBURI,MAJIVUNO,UBINAFSI,ULIMBUKENI n.k.ETI ANASEMA HAJUI KAMA KILI.AWARDS ZIMESHAFANYIKA.hahaha,

Kwani Jide alikunyang'anya mume ama kuna kingine kinachokuuma? Maana hiyo fuatilia unayomfuatilia sio ya kiume, wewe lazima utakua mwanamke mwenzie ambaye alikupora bwana/ buzi.
Jaydee sucks