She has an arrogant and false sense of entitlement. Even worse, she thinks she is the shit when she ain't.
Her music is shitty and her attitude is woeful. She needs an attitude adjustment.
sijaparamia mada mimi nimeeleza kutokana na situation niliyoiona,mtu kumjua vizuri siyo mpk awe mme au mkeo just being close tu inatosha,alafu una uhakika gani kama mwana fatuma ndiyo mwana fa,wewe umekuwa msemaji wa mwana fa,kwa nini usimshauri akamfungulie kesi? kama junahisi mwana fa kadhalilishwaSasa matusi ya nn bro,kwan usiandike kwa ustaarabu??,mbkna mi uzi wangu huu hauna matusi ama ndo wale wale wafa mji mnatapatapa??,
Una uhakika hani kwamba jide anamjua bizur mwanaFa??,kwan ni mke wake? Ninachokipinga hapa ni kitendo cha jide kumdhalilisha mwanFa kwa kumuita MwanaFatuma ama mwanahamis.
Usipende kuparamia mada na usipelekwe kama upepo.
sijaparamia mada mimi nimeeleza kutokana na situation niliyoiona,mtu kumjua vizuri siyo mpk awe mme au mkeo just being close tu inatosha,alafu una uhakika gani kama mwana fatuma ndiyo mwana fa,wewe umekuwa msemaji wa mwana fa,kwa nini usimshauri akamfungulie kesi? kama junahisi mwana fa kadhalilishwa
Kwanza nakupongeza sana mdada kwa kufanya bidii katika muziki na kimaendeleo pia.mimi siko Tanzania kwa muda sasa lakini nafuatilia kwa karibu sana kila kinachotokea huko.Majuzi uliposti katika tweeter na kumwita mwana Fa mwanafatuma.Binafsi skufurahi kwa kuwa sioni sababu hasa ya wewe kumwita Mwana Fa mwanafatuma.Sababu hasa inayo sababisha wewe kumwita hivo ni kwamba unahisi kuwa karubuniwa na CLOUDS FM kukuhujumu kwa kuweka shoo yake siku na tarehe ambayo wewe pia ulikuwa na shoo.Lakini umesahau kuwa msanii hupangiwa shoo na promota lakini pia hutegemea ujira wake kutokana na shoo anazofanya.Ingewezekana vipi MWANA FA kukataa kufanya shoo tarehe 31,kisa wewe unafanya shoo???,kwani we ni nani hapa tz ampaka watu waahirishe mambo yao na kuweka atention kwako????.
Umesahau kuwa hata hayo maendeleo ulonayo umetoka huko ambako mwana fa anapigania kutoka ili miaka ijayo hata yeye awe na mgahawa wake kama wewe???,hakuna siku ambayo wewe umefanya shooo huku msanii mwingine nae anafanya sho mahala pengine??? Hata kama Ruge alihusika kupanga jabo hilo, mwana Fa inamhusu nini ugomvi wenu wewe na Ruge?? mpaka aahirishe kufanya shoo.?Kwa nini unalazimisha mawazo yako yafanane na ya watu wote??????,ugomvi wenu na Ruge usababishe kila kitu kismame??,kumbuka wewe sio mtu muhimu sana hapa tanzania japo una heshima kubwa sana katika muziki wetu.
Yafuatayo ni mapungufu yako jaydee.
1.Unadhani kwamba wewe ni mtu muhimu sana hapa tanzania kuliko wasanii wengine
2.Unaponzwa na kujiamini kusiko kuwa na tija na kudhani kuwa uko sahihi kwa kila unalolifanya
3.Umebweteka na sifa unazopewa na mashabiki katika mitandao ya kijamii na pengine
4 huna mahusiano mazuri na wasanii wenzako maana hata misibani umeanza kuonekana majuzi baada ya kushtukiwa kuwa huwa huendi
5.unashindwa kuamini kuwa sasa wakati wako umeisha na inabidi uwaachie akina recho na mwasiti kijiti
6.Umesahau kuwa na wewe pia ulitoka huko huko kwa Ruge na pia kama ni kuamrishwa ulikuwa unaamrishwa kama akina Fa
USHAURI-
1.Acha kujiona upo sahihi kwa kila jambo.
2.Shirikiana na wenzako katika kila hali sio kujitenga na kuwalaumu kuwa wanakusaliti kumbe wewe una umimi mimi tango kitambo.
3.Usilewe sifa za mashabiki ambao watakuponda baada ya muda ukisha poteza mwelekeo.
4.Nakushauri mwombe msamaha Mwana Fa haraka utavoweza.
wanajamii mnaruhusiwa kuchangia lolote katika hili....,
Mi sio msemaji wake na wala hanifaham,mm ni shabiki tu wa muziki
Sidhan kama anahaja ya kufungua kesi maana haitasaidia.lakini jitahidi pia kuchunguza mambo kwa kina kuliko kubaki kuwa mtumwa wa mawazo na kutokukubali kubadilika ama kuboji kwa kila unachosikia ama
Kuambiwa.
Ni kwel kabisa mwana fa na jide ni wa2 wanaofahamiana vizur kutokan na shughur zao za muziki, na pia wamekuw wakishirikiana sana..nakumbuk ktk haruc ya gadner na jide, mwana fa alikuw ni mmoj wa wapambe wa maharuc...kutokana na ukaribu wao iliwabid wapeane nafasi na kila mmoja ashirik ktk show ya mwenzie...kam mistake ilitokea tar 31 ya kufanana cku ya show zao kabla ya wote kuhairisha kutokan na msiba wa ngwair.. n then jide akapanga cku nyngn..vp fa apange the same date na jide? Kiukwel inaleta hisia mbaya wakuu...fa ana2fany tuamin kwamb anatumika nakina Ruge...SIUNGI MKONO HOJA.
Huyu dada HANA adabu na sitavumilia kuona kijana mwenzangu akidhalilishwa kwa sababu tu ya kutoelewana kibiashara!
Ingawaje nilipanga nimtoe bi mdogo out twende kwenye onyesho lake natangaza rasmi NIMESUSIA kama bi mdogo anaenda aende mwenyewe!
Mm mke wangu na rafiki kama kumi lazima tukamsuport dada yetu. Mwanaume huwezi rubuniwa kijinga kuwasaliti wasanii wenzio. Ndiomaana wasanii aabongo hawakuwi kimaendeleo coz they are thinking only today. Big up jide keeo it up.
Sijawahi kufika moro zaidi ya kupita
Tatizo sio kumsapoti maana hata mimi terh,.14,ningekuwa Tanzania ningeenda hta na familia yangu maana ni moja ya fans wake wakubwa,
Swala hapa ni matusi na kibur na kutokukubal ushaur na kujiamini kupita kiasi,na kujaribu kuaminisha watu kwamba yeye yuko safe na anaonewa nawakat nyuma ya pazia mambo tunayajua sisi.
Mngemjua japo.kidogo jaydew msinge mshabikia kwa hili la kutumia mitandao kukashfu na kutukana wasanii wenzake
Kwani upo 'inji' gani mkuu??
Mbona Ubongo wako unaongozwa na hisia za Ruge??Shule za kata kwel ni tatizo,mimi sio mwana Fa,mimi ni mdau wa muziki niyeegemea upande wowote,kamwe usikubali ubongo wako ukaongozwa na 'hisia binafsi za mtu' .....narudia Kamwe usiruhusu ubongo wako uongozwe na hisia binafsi za mtu,,tafakar kila unalosikia na pia kulipitia kwa kina.Sijatumwa na mtu kuja kusema kitu chochote hapa haya ni mawazo yangu tu.
Kwanza nakupongeza sana mdada kwa kufanya bidii katika muziki na kimaendeleo pia.mimi siko Tanzania kwa muda sasa lakini nafuatilia kwa karibu sana kila kinachotokea huko.Majuzi uliposti katika tweeter na kumwita mwana Fa mwanafatuma.Binafsi skufurahi kwa kuwa sioni sababu hasa ya wewe kumwita Mwana Fa mwanafatuma.Sababu hasa inayo sababisha wewe kumwita hivo ni kwamba unahisi kuwa karubuniwa na CLOUDS FM kukuhujumu kwa kuweka shoo yake siku na tarehe ambayo wewe pia ulikuwa na shoo.Lakini umesahau kuwa msanii hupangiwa shoo na promota lakini pia hutegemea ujira wake kutokana na shoo anazofanya.Ingewezekana vipi MWANA FA kukataa kufanya shoo tarehe 31,kisa wewe unafanya shoo???,kwani we ni nani hapa tz ampaka watu waahirishe mambo yao na kuweka atention kwako????.
Umesahau kuwa hata hayo maendeleo ulonayo umetoka huko ambako mwana fa anapigania kutoka ili miaka ijayo hata yeye awe na mgahawa wake kama wewe???,hakuna siku ambayo wewe umefanya shooo huku msanii mwingine nae anafanya sho mahala pengine??? Hata kama Ruge alihusika kupanga jabo hilo, mwana Fa inamhusu nini ugomvi wenu wewe na Ruge?? mpaka aahirishe kufanya shoo.?Kwa nini unalazimisha mawazo yako yafanane na ya watu wote??????,ugomvi wenu na Ruge usababishe kila kitu kismame??,kumbuka wewe sio mtu muhimu sana hapa tanzania japo una heshima kubwa sana katika muziki wetu.
Yafuatayo ni mapungufu yako jaydee.
1.Unadhani kwamba wewe ni mtu muhimu sana hapa tanzania kuliko wasanii wengine
2.Unaponzwa na kujiamini kusiko kuwa na tija na kudhani kuwa uko sahihi kwa kila unalolifanya
3.Umebweteka na sifa unazopewa na mashabiki katika mitandao ya kijamii na pengine
4 huna mahusiano mazuri na wasanii wenzako maana hata misibani umeanza kuonekana majuzi baada ya kushtukiwa kuwa huwa huendi
5.unashindwa kuamini kuwa sasa wakati wako umeisha na inabidi uwaachie akina recho na mwasiti kijiti
6.Umesahau kuwa na wewe pia ulitoka huko huko kwa Ruge na pia kama ni kuamrishwa ulikuwa unaamrishwa kama akina Fa
USHAURI-
1.Acha kujiona upo sahihi kwa kila jambo.
2.Shirikiana na wenzako katika kila hali sio kujitenga na kuwalaumu kuwa wanakusaliti kumbe wewe una umimi mimi tango kitambo.
3.Usilewe sifa za mashabiki ambao watakuponda baada ya muda ukisha poteza mwelekeo.
4.Nakushauri mwombe msamaha Mwana Fa haraka utavoweza.
wanajamii mnaruhusiwa kuchangia lolote katika hili....,
Mbona Ubongo wako unaongozwa na hisia za Ruge??
Hayo mengine sina uhakika nayo, ila hapo namba nne kusema kwamba hana mahusiano mazuri na wasanii sidhani kama unamtendea haki, kwa sababu huyu dada kashirikishwa nyimbo nyingi sana na wasanii tofauti tofauti angekuwa hana mahusiano mazuri na hao wasanii sidhani kama wangekuwa wanamshirikisha kwenye nyimbo zao. nitaje tu chache ninazokumbuka.
-Bongo Dar es salaam ameshirikishwa na Prof J.
-Kuna wimbo mwingine kashirikishwa na sugu siukumbuki jina.
-Anita ameshirikishwa na Matonya.
-Hawajui ameshirikishwa na Fa
-Alikufa kwa ngoma ameshirikishwa na Fa
-Mambo bado ameshirikishwa na Chege.
-Understanding ameshirikisha TID.
-Single boy ameshirikishwa na Alikiba.
-Msiache Kuongea ameshirikishwa na Fa
-Kupakazia sijui wanok nok ameshirkishwa na Mandojo na Domokaya.
-Sifai ameimba na AY na TID
-Mawazo ameshirikiana na AY.
-MAchoni kama watu ameshirikiana na AY.
-Sikiliza ameshirikiana na Ngwair na Fa
-Ng'ombe ameimba na Bob Junior.
-Wangu ameimba na Mr Blue
kwa uchache nakumbukuka hizo kwa wasanii wa ndani, na kwa wasanii wa nje nakumbuka kaimba na mina nawe, Oliver Mtukuzi, Kidum, Chamelion, Ngoni tribe, yule dada wa Uganda sijui anaitwa nani.
Wote hao angekuwa hana uhusiano mzuri angeweza kushirikiana nao kweli?