monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Kuna jamaa mtaani alikua anaiponda ps4 fat ndo maana nikaleta mada kwa wataalamHizo ni model tu mkuu kwani Samsung S8 na Samsung S8 plus bei sawa?? Je zinazidiana sana!!??
Vipi kuhusu ps3 slim na super slim kuna tofauti ya utendaji???
Ni muonekano tu ps4 za fat na slim ni moja, sema kuna ps4 pro ambayo ina quality kubwa zaidi.Habari wajuvi, natumaini hamjambo
Katika pitapita zangu mitandao mbalimbali ya kijamii kusaka bidhaa used nimekuta bei ya ps4 fat used kati ya 500k - 550k tofauti na ps4 slim na pro ambazo bei ni kati ya 650k - 950k
Wakuu nataka ninunue ps4 fat kwa matumizi ya biashara je itanifaa au zina mapungufu mengi ndo maana bei kitonga msaada tafadhali.View attachment 2048320
Kuna jamaa alinambia ps4 fat zinahit sana na ukiitumia kwa muda mrefu zina tania ya kujizima au ubora wa picha unapungua picha inakua ya blue ndo maana bei kitonga je kuna ukweli hapo?Ni muonekano tu ps4 za fat na slim ni moja, sema kuna ps4 pro ambayo ina quality kubwa zaidi.
Jambo muhimu kama unafanya biashara hakikisha version ya Ps4 yako hajaizidi 9.0.0, kama imezidi hapo kununua cd kunakuhusu.
PS4 Jailbreak / PS4 Custom Firmware for Dummies - Wololo.net
PS4 Jailbreak - Tutorials & latest information for PS4 Jailbreak and CFW on the current PS4 Firmwares. Get started here to Jailbreak your PS4!wololo.net
Hizo sababu zinatokea vifaa vyote vya electronic, cha muhimu nunua duka linalojielewa.Kuna jamaa alinambia ps4 fat zinahit sana na ukiitumia kwa muda mrefu zina tania ya kujizima au ubora wa picha unapungua picha inakua ya blue ndo maana bei kitonga je kuna ukweli hapo?
Ahsante mkuuHizo sababu zinatokea vifaa vyote vya electronic, cha muhimu nunua duka linalojielewa.
Issue ya kuheat na kujizima ina maana cooling imefeli ama thermal paste imekauka, hasa kwa console hizi zilizozinduliwa takriban miaka 10 ni jambo la kawaida,
Ila fat vs slim zote zikiwa hali moja hakuna utofauti.
Na kupata magame unapataje?? Nataka niwe nadownload mwnywNi muonekano tu ps4 za fat na slim ni moja, sema kuna ps4 pro ambayo ina quality kubwa zaidi.
Jambo muhimu kama unafanya biashara hakikisha version ya Ps4 yako hajaizidi 9.0.0, kama imezidi hapo kununua cd kunakuhusu.
PS4 Jailbreak / PS4 Custom Firmware for Dummies - Wololo.net
PS4 Jailbreak - Tutorials & latest information for PS4 Jailbreak and CFW on the current PS4 Firmwares. Get started here to Jailbreak your PS4!wololo.net