mapunguyu ya website mpya ya elimu iliyoanzishwa na alikuwa miss tz 2004

Zgerald95

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
235
Reaction score
59
Habari! Naitwa Zakaria Gerald
nasoma kidato cha sita
morogoro ...Binafsi nimefurahia
sana hii idea aliyoianzisha
aliyekuwa miss mwaka 2004
dada Faraja kwa kuwasaidia
wanafunzi wa kitanzania
kujisomea kwa njia ya mtandao
kuliko kupoteza mda mwingi
kwenye social networks kama
vile facebook ambazo kimsingi
hazimjengi mwanafunzi
kitaaluma..big up sana dada
yangu kwa hilo..ila kuna
mapungufu ambayo nimeyaona
wakati nilipo utembelea huu
mtandao ni kuwa hi tovuti ni
kama imewatenga wanafunzi
wa advance kwa sababu
kwenye registration pale
hamna option ya kujaza kidato
cha tano na sita inaishia
kidato cha nne that is first
Second notes na quiz
mbalimbali katika tovuti hii
zimeandaliwa katika mfumo wa
PDF lazima uu download ambao
unakuwa supported mara
nyingi katika computer simu za
mkononi nyingi tunazotumia
sisi st kayumba files za aina hii
zinakuwa unsapported na
wanafunzi wengi wa kitanzania
haswa tunaoishi mjini
tunatumia simu kupata
huduma ya internet hvyo ni
wanafunzi wachache ndo
watakofaidika na tovuti hii...3rd
website hii imekuwa designed
katika mfumo wa desktop view
peke yake hakuna mobile view
kitu ambacho kinamfanya
mtumiaje mlengwa ambaye ni
mwanafunzi anayetumia divice
za kawaida kama vile simu
asumbuke wakati ana browse
kwa sababu features ambazo
zinakuwa displayed ni nyingi
kuliko uwezo wa simu...
nimeshindwa kufikisha ujumbe
huu kwa wahusika moja moja
wa shuledirect.com ila naamini
kwa kupitia mtandao huu
maoni haya yatawafikia
wahusika..naomba myazingatie
haya tafadhari ili kuendeleza
mfumo wa elimu nchini
ahsanteni! Email yangu ni
zakariagerald@gmail.com au
una weza ukanifuata kwenye
ukurasa wangu wa twitter
Zgerald95
 
Ujumbe mzuri tatizo umejitambulisha sana na unatoa anuani ili iweje? Kama unaweza toa maoni au maboresho kupitia ànuani iliyotolewa kwenye hiyo website sio unakimbilia huku kulalamika.
 
Hayo pia ni maoni kaka! Nashukuru nitayafanyia kazi
 
Habari! Naitwa Zakaria Gerald
nasoma kidato cha sita
morogoro ...
ahsanteni! Email yangu ni
zakariagerald@gmail.com au
una weza ukanifuata kwenye
ukurasa wangu wa twitter
Zgerald95

Nawe pia fanyia kazi kwanza mapungufu katika uandishi wako. Kabla ya kuposti bonyeza preview kwanza uone jinsi bandiko lako litakavyooneka. Mimi namshukuru binti huyo kwa uamuzi wake
 
Hakuna kitu kilichianza perfect,,facebook ilianza kuwa na member wa chuo cha havard,binafsi nampongeza kwa hatua kubwa na nzuri.
 
Tatizo letu watanzania kila kitu tunaleta siasa ndio maana hatuendelei sasa hata typing errors nazo mnazichukulia kama ni big issue sawa lakini nimewaelewa ila tunatakiwa tubadilike jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…