Mapya sakata la Lusako: Polisi wafunga reply kwenye account yao

Wanadai hawakuwa wanamkamata yeye lakini gari lake wamelipeleka police🙄🙄 hata zile mbwembwe za kukamatwa watu Tisa kwenye utekakaji wa Bonge Kiluvya ni uongo Tu. Matukio haya wanayafanya POLISI. Bahati mbaya Kwa Mzee Kibao hakukuwa na ushahidi lakini Damu/ maumivu yake yataenda na wengi😭😭😭
 
hata zile mbwembwe za kukamatwa watu Tisa kwenye utekakaji wa Bonge Kiluvya ni uongo Tu
Ktk wale watu 9, mmoja tu ndiye polisi (yule aliyejulikana kwenye utekaji wa bonge), lkn wengine wote ni wafungwa toka gereza nalofanyia kazi mm.

Hivi tunavuoongea wamesharudishwa gerezani na yule askari yuko nyumbani kwake na mkewe.
 
Amefutwa kazi au imekuwaje
 
Ktk wale watu 9, mmoja tu ndiye polisi (yule aliyejulikana kwenye utekaji wa bonge), lkn wengine wote ni wafungwa toka gereza nalofanyia kazi mm.

Hivi tunavuoongea wamesharudishwa gerezani na yule askari yuko nyumbani kwake na mkewe.
Kudadekiiiiiiiiiiiiiiii. Si nimeona jana wamekula pingu mchana kweupe kabisa wakishushwa kwenye PT.
 
Ktk wale watu 9, mmoja tu ndiye polisi (yule aliyejulikana kwenye utekaji wa bonge), lkn wengine wote ni wafungwa toka gereza nalofanyia kazi mm.

Hivi tunavuoongea wamesharudishwa gerezani na yule askari yuko nyumbani kwake na mkewe.
Mkuu ukiombwa ushahidi utatoa? Au unategemea wakikudaka zile hashtag za maria sarung na genge lake huko X free G4N free G4N huku mwenyewe unakula marungu tu huko 😅😅
 
Ktk wale watu 9, mmoja tu ndiye polisi (yule aliyejulikana kwenye utekaji wa bonge), lkn wengine wote ni wafungwa toka gereza nalofanyia kazi mm.

Hivi tunavuoongea wamesharudishwa gerezani na yule askari yuko nyumbani kwake na mkewe.
Yule Afande Nsato nimesoma naye shule yetu ilikuwa na DIVISION IV mbili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…