Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,287 Reaction score 486 May 10, 2013 #1 Kwa kipaji na Umaarufu aliokuwa nao Star wa nyimbo za Taarab Bi. Kidude hapa na Nchini na nje ya Nchi yetu, Je yaweza akawa ni mwimbaji aliyepata kuvuma kuliko hata Sitti Binti Saadi!?
Kwa kipaji na Umaarufu aliokuwa nao Star wa nyimbo za Taarab Bi. Kidude hapa na Nchini na nje ya Nchi yetu, Je yaweza akawa ni mwimbaji aliyepata kuvuma kuliko hata Sitti Binti Saadi!?
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 532 May 10, 2013 #2 Anuani na maudhui hayana uhusiano. Isipokuwa vinginevyo una lengo tafauti na ulichobandika.
twatwatwa JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 2,066 Reaction score 419 May 11, 2013 #3 nyauu nyauu
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 May 13, 2013 #4 kakurupuka huyu next time JIPANGE tena UJIPANGE sawasawa