ANTHONY KWEKA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 958
- 379
Hivi inamaana hawa viongozi watz wametuona sie mabongolala sana.
Kwamba sababu za kufeli kwa wanafunz wa shule ya msingi na form 4 hazifahamiki coz tangu mwaka 2007 hadi 2012 chart inashuka tu. Ile tume ya kwanza matokeo yake kapuni.