ANTHONY KWEKA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 958 Reaction score 379 Apr 16, 2013 #1 Hivi inamaana hawa viongozi watz wametuona sie mabongolala sana. Kwamba sababu za kufeli kwa wanafunz wa shule ya msingi na form 4 hazifahamiki coz tangu mwaka 2007 hadi 2012 chart inashuka tu. Ile tume ya kwanza matokeo yake kapuni.
Hivi inamaana hawa viongozi watz wametuona sie mabongolala sana. Kwamba sababu za kufeli kwa wanafunz wa shule ya msingi na form 4 hazifahamiki coz tangu mwaka 2007 hadi 2012 chart inashuka tu. Ile tume ya kwanza matokeo yake kapuni.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Apr 16, 2013 #2 Pinda ameongeza nyingine inaitwa 'kikosi kazi' Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums