Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA, MKOA WA MARA
Katika muhtasari wa maeneo ya utawala, mkoa huu una halmashauri ambazo zimegawanyika katika mamlaka za miji na wilaya.
Idadi ya Watu
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Mkoa wa Mara uliandikisha idadi ya watu wapatao 1,743,830
Wilaya za Mkoa wa Mara
- Musoma Mjini - Hii ni wilaya ya mji mkuu wa Mkoa wa Mara, Musoma.
- Musoma Vijijini
- Bunda
- Tarime
- Rorya
- Serengeti
- Butiama
Idadi ya Majimbo ya Uchaguzi
Mkoa wa Mara una jumla ya Majimbo ya uchaguzi Tisa
Musoma Mjini
Musoma Vijijini
Rorya
Bunda Mjini
Bunda Vijijini
Serengeti
Tarime Mjini
Tarime Vijijini
Mwibara
Viunganishi vinavyohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 mkoa wa Mara
- Uchaguzi Serikali za Mitaa: Hakuna kupita bila kupingwa, atakapopatikana mgombea mmoja, atapigiwa kura za ndiyo au hapana
- Kuelekea 2025 - Wananchi wahimizwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Tarime mji
- LGE2024 - Wananchi wahimizwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Tarime mji
- LGE2024 - Shekhe Bashiri Abdala wa CHADEMA akosoa zoezi la uapishaji mawakala Tarime
- Waziri Mchengerwa: Hakuna Uthibitisho wa madai ya Uandikishaji Wanafunzi Kupiga Kura
- LGE2024 - Tarime: Mke aliyepotea miaka 3 akutwa ameandikishwa kupiga kura
- LGE2024 - Sirari: Hivi ndivyo Wagombea wa Chadema walivyorejesha Fomu za Kugombea Uenyekiti wa Serikali za Mitaa
- LGE2024 - Serengeti: Wagombea CHADEMA waenguliwa, DED akata simu
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Kanali Mtambi aonya Siasa za Majitaka Mara, TAKUKURU yakazia kupambana na Rushwa
- LGE2024 - Katibu NEC Issa Gavu: Fanya kosa lolote CCM lakini si usaliti, hatutakusamehe
- LIVE - LGE2024 - Tundu Lissu anaunguruma Mkoani Mara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CHADEMA
- LGE2024 - Biteko: Uchaguzi huu msiuchukulie poa
- LGE2024 - Tundu Lissu: Ukinipigia simu kwamba hawajamtangaza mgombea wetu ambaye ameshinda, nitakuuliza umewafanya nini? umempiga ngeu kiasi gani?
- LGE2024 - Salum Mwalimu azindua kampeni Bunda mjini
- LGE2024 - Tundu Lissu: Wamezuia uwanja wa mkutano lakini hawawezi kuzuia wananchi kutusikiliza
- LGE2024 - Mara: Wananchi walalamika majina kushindwa kusomeka, waganda muda mrefu bila kupiga kura
- LGE2024 - ACT Wazalendo: Wakala wetu wa Bunda ameshambiliwa kisha amepelekwa Polisi, wanadai amefanya fujo