Hakuna aliyesalama.POLICE +GREEN GUARD(CCM) NDYO WENYE HUO MCHEZO.lema alipokuwa karatu alitajiwa wahusika wa watekaji kwa majina na walikuwa uvccm lakin cha ajabu police wako kimya.CCM NA SAMIA WENU mnatengeneza moto wa petroli ipo siku mtashndwa kuuzma.HATA KWA WENZETU CIVIL WAR ILIANZA MDOGO MDOGO KWA WANANCHI KUCHOKA
Vijijini huko zamani kulikuwa na ushirikiano kweli ukipiga tu mwano ( yowe) hatoki mtu lakini siku hizi kutokana na muingiliano na wajita wameanza kuongea kiswahili tangu wakiwa wadogo basi imeanza kuwa taabu, enzi zetu kiswahili unaenda kujifunza shuleni. Mambo yalikuwa bora sana
Ishu za wavuvi Zina sarakasi nyingi sana nyuma ya pazia,kwanini wamuulize hizo namba za simu? vyombo hivi kukufata wana zaidi ya 75% ya kile wanachokifata kwako,kwa wale walioko kanda ya ziwa wanajua ukatili uliopo ziwani