Kuzaliwa mwanaume kweli mateso.
Yaani wanatafuta sababu ili watutukane mara hatuna nguvu za kiume, ooohh tunatumia pweza mara vumbi la kongo.
Tunaomba mtueleze ina maana mkitundikwa mimba nalo ni kosa? Huu ni unyanyasaji mnajua kazi ya maziwa mgando, karanga mbichi, sato, sangara, na ugali wa muhogo na dona jumlisha mihogo ya kuchemsha na viazi vitamu?
Sasa mtu anapata chakula cha namna hiyo anaachaje kutundika mimba kila siku?
Mnatakiwa sasa mtupe uelekeo kauli ipi tuishike sio kutusengenya kila wakati haifai, Wanaume tushikamane hawa wana ajenda ya siri.