Uzazi wa mpango sio mashindano ya kusimamisha.
Sikiliza middle class wewe uchumi unakua kwa 4.5%,na watanzania wanaongezeka kwa 3.4%,hii sio sawa ,itaichukua Botswana 50yrs kufikia idadi ya wakaazi wa Dar(more than 7M!),tuache kuzaana ,acha kuleta watoto duniani ambao huwezi kuwatunza!,condomise au zinakubana!
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]
"Za kuambiwa changanya na zako" ina maana Viumbe wengine kama Wanyama pori nao waishi wapi tukiijaza Dunia Mimea Miti na Vinyama vya Mwitu vyote vipoteeAcha wakung’utwe mimba na kliniki tutawasindikiza lazima tufuate amri ya Mungu kua tuijaze dunia maana tukileta uzembe huko peponi tutaulizwa yaani Mungu atasema kwahiyo ulipuuzia kuijaza dunia? Tutajibu nini sasa