uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 836
- 2,658
Wewe ulisha wahi kujiuliza inakuwaje timu ya Yanga au Simba ambazo zinausajili wa mabilioni ya shilingi zinakuja kufungwa kiurahisi na timu kama Tabora au Mbeya city.
Kwa watu ambao tunasema wameamua kujitolea tu kucheza mpira.
Huo michezo sio bongo tu hata ulaya ipo yani inakuwa hivi kabla ya timu kuanza kucheza wachezesha kamari lazima wasome mkeka.
Kwa mfano kama Azam watacheza na Simba halafu watu wengi wakaibetia Simba, inamaana lazima hapo mchezesha kamari lazima aingie hasara, kwahiyo.
Mchezesha kamari ni bora afanye uwezekano wa Azam, na ikishinda Azam.
Inamaana yeye ndio inakuwa na faida kubwa kwake. Kwahiyo anaagalia katika faida atakayo pata hata kama ni sh. Billion 1 anaona ni bora atumia hata sh. M. 300 kupanga matokeo.
Na anachofanya ni kwenda kuonnana watu muhimu kwenye timu hata watatu au wanne kwamba nyinyi mtachukua kila mtu m.100 jueni cha kufanya timu yenu ifungwe au itoe sale.
Na ndio maana unakuta kipindi cha kwanza imefanya vizuri lakini angalia kipindi cha pili.