Mungu mwema,pambana bila kuchoka!Yani unaweza kuta mama A na mama B wana watoto wamezalia nyumbani mara mbili mfululizo ila maongezi yao kwa asilmia ni kudiscuss na kukosoa mambo ya huyo ndugu yao na familia yake.
Na ole wake, Baba afe amtangulie mama, "oooh kamuua mwanaume ili abaki na mali arithi na wanawe na ale na wanaume wake"
Vijana wa watoto matajiri kosa apite bila kutoa salamu kwa moja ya ndugu, aisee hadi simu zinapigwa "aisee huyu dogo hajui baba yake aliishi kwa baba yangu kipindi anajitafuta, anajiona amefiiika"
UMASIKINI NI MZIGO, tuzisake wakuu lakini tukizikosa still tusiwe vichomi.
Inasikitisha sana 😢Yani unaweza kuta mama A na mama B wana watoto wamezalia nyumbani mara mbili mfululizo ila maongezi yao kwa asilmia ni kudiscuss na kukosoa mambo ya huyo ndugu yao na familia yake.
Na ole wake, Baba afe amtangulie mama, "oooh kamuua mwanaume ili abaki na mali arithi na wanawe na ale na wanaume wake"
Vijana wa watoto matajiri kosa apite bila kutoa salamu kwa moja ya ndugu, aisee hadi simu zinapigwa "aisee huyu dogo hajui baba yake aliishi kwa baba yangu kipindi anajitafuta, anajiona amefiiika"
UMASIKINI NI MZIGO, tuzisake wakuu lakini tukizikosa still tusiwe vichomi.
Mi sio wakishua mkuu