Kuna baadhi ya watu humu ndani JF wanamdharau sana Mange kwa kuona kama ni mtu mjinga Fulani hivi ambae hata akiongea vipi hawezi leta impact yoyote.Ila amini nawaambieni maneno ya Mange yana impact kubwa sana whether + or - . usiombe ukaingia kwenye 18 zake huku side B ya maisha yako ni chafu especially kama una reputation Fulani kwenye jamii.najaribu kuwakumbuka baadhi ya watu waliowahi kukinywa kikombe cha huyu Dada jinsi walivyohangaika kujiweka sawa lakini mpaka leo bado heshima yao ipo chini isipokuwa wanajitia ujasiri tu.