Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Hivi ikitokea siku watanzania mkaambiwa kuwa Mange kimambe naye ni Usalama wa Taifa. Alitumwa awachunguze wapinzani itakuwaje?
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alkuwa kada wa CCM. Kilichomsibu kuhama upinzani hakieleweki mpaka leo.Kwa sababu ni Mpare kama Mruma au nini?
Kwahiyo akili hiyo ya kiazi mbatata ccm na usalami wamoja??Alkuwa kada wa CCM. Kilichomsibu kuhama upinzani hakieleweki mpaka leo.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Acha kuandika your wishfull thinking. Dadavua kulingana na Case ya Tsnzania, vyama vya siasa na usalama wa taifa.Kwahiyo akili hiyo ya kiazi mbatata ccm na usalami wamoja??
Usalama km wanatumiwa na ssm ni kimakosa tena sana, ata siku ikitokea fujo au kuvunjika kwa amani basi wajue watahusika akiwa usalama au asiwe siyo issue maana usalama pia kuna wengine wanajitambua!
Pia tambua usalama hawana chama, kuhusisha/kujihusisha na siasa wao km usalama watakuwa wamefanya makosa kiufundi kulinda usalama wa nchi. Maana ata hao chadema lazima walindwe na hao usalama km wakitumika kuwashambulia utakuwa ni upuuzi wa haki ya juu.
Kwani wapinzani wamempa siri ganiHivi ikitokea siku watanzania mkaambiwa kuwa Mange kimambe naye ni Usalama wa Taifa. Alitumwa awachunguze wapinzani itakuwaje?
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Na Zimbwela nae Usalama wa taifa...[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi Mkuu...!!
Huwezi kutenganisha hao wakubwa na chama kinachoongoza dola( kwa mfumo wa Tz)Kwahiyo akili hiyo ya kiazi mbatata ccm na usalami wamoja??