Mara Paaaa. Mange Kimambi naye ni Usalama wa Taifa.

Alkuwa kada wa CCM. Kilichomsibu kuhama upinzani hakieleweki mpaka leo.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
Kwahiyo akili hiyo ya kiazi mbatata ccm na usalami wamoja??

Usalama km wanatumiwa na ssm ni kimakosa tena sana, ata siku ikitokea fujo au kuvunjika kwa amani basi wajue watahusika akiwa usalama au asiwe siyo issue maana usalama pia kuna wengine wanajitambua!

Pia tambua usalama hawana chama, kuhusisha/kujihusisha na siasa wao km usalama watakuwa wamefanya makosa kiufundi kulinda usalama wa nchi. Maana ata hao chadema lazima walindwe na hao usalama km wakitumika kuwashambulia utakuwa ni upuuzi wa haki ya juu.
 
Acha kuandika your wishfull thinking. Dadavua kulingana na Case ya Tsnzania, vyama vya siasa na usalama wa taifa.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Mtamtaja hadi Max sasa kuwa nae ni usalama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Zimbwela nae Usalama wa taifa...[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi Mkuu...!!

Huwezi kumtaja Sunche bila Kapeto,
Alpha bila Omega, Romeo bila Juliet au Jigga bila Beyonce....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Kolomi......na Sizon......ewaaaaahhh..!!

Hapo sawa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kutenganisha hao wakubwa na chama kinachoongoza dola( kwa mfumo wa Tz)
Kiongozi mkuu wa nchi pia ni mwenye kiti wa chama kinachoongoza dola.
Angalia hapa
Ofisi ya Rais Utawala Bora. Tiss wapo chini ya wizara hiyo.
Pccb pia.
 
Mkuu mi sitashangaa maana hata aliekuwa msemaji wa Jeshi letu tukufu mara paaaaap akawa msemaji wa CCM.
TZ kila kitu kinawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…