Pole mdogo wanguKho kho kho
[emoji4][emoji4]Njoo mdogo wangu
Ukuje tuu mwaya
Pole tu jaman dadaPole mdogo wangu
EeehPole tu jaman dada
City center hakuna umeme, niko mtaa wa samora hapa ni machine za kukoboa mahindi ndo zinafanya kaziNyie mnaosema dar hamna umeme inabidi mtuambie mnakaa dar sehem gani mbona huku kwetu upo vzr tu
Ahsante sana ShuniePolee mnoo
Ipo nyingi sana imekata mda huu nipo poa mimi wewe jeAhsante sana Shunie
Habari za wewe, ivi na huko mvua imelewa kama huku?
Mwendo ni ule ule
Na unakata kweli kweli kila siku unaongezeka makali ya kukata wembe huoWembe ni ule ule
Na mimi nipo poa, huku pia imerest in peace kidogoIpo nyingi sana imekata mda huu nipo poa mimi wewe je