Ningeanza na kufanya mabadiliko makubwa ya sheria zote kandamizi,ningezipa taasisi mamlaka kamili ya kisheria na kuzifanya kuwa zinajitegemea katika utendaji wake,ningeanzisha mchakato wa kupata katiba bora zaidi,zaidi ya yote ningeboresha sekta za afya na elimu!