Aisee!!Mara paap Mwamedi katutoka
😂😂😂😂😂 Dah nimecheka kifala yanMara paap Mwamedi katutoka
Mo ni mdgo kwa simba kama hutumii akili. Simba wakat inacheza fainal ya CAF shirikisho Mo alikuwa wap? Jiulize. Simba timu kubwa DADADEK . Unateseka ukiwa wapMara paap Mwamedi katutoka
tusifike huko mkuuMara paap Mwamedi katutoka
Paaa Yanga a.k.a wavaa vjora na madela wanakandamizwa goli za kutosha na NAMUNGO wanarejea Dar. Hahaha kwel utopolo wa hapa hapaMara paap
Group C:
Mamelod
Zamalek
Paka FC
MC Alger
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] falaa wwMara paap Mwamedi katutoka
Jamaa kazingua [emoji1] [emoji1] [emoji1]tusifike huko mkuu
Sasa Simba si anapita kwa points 11!Mara paap
Group C:
Mamelod
Zamalek
Paka FC
MC Alger
Mnavuta wida kwa mkapa alafu point moja kwa mamelod sioSasa Simba si anapita kwa points 11!
Mc Algier na zamalek point wanatupa points 2...kuhusu points 9 za nyumbani hili sio Jambo gen Jambo geni Ni kupata sare ugeniniMnavuta wida kwa mkapa alafu point moja kwa mamelod sio
Chura fc, madila fc, utopolo de yangaPaka Shume FC
Paka Jeusi FC
Mapaka Meusi FC
kweli hizo ni jokes.mara paap Simba tumechukua ubingwa wa VPL,Azam FC kawa mshindi wa pili, Ruvu shooting kashika nafasi ya tatu na Azam confederation Cup(FA) kabeba Namungo hatuombei ila najaribu kuwaza watani mtajisikiaje.
Jokes tu
Huu ni utani mbaya....acha hizo.Mara paap Mwamedi katutoka