kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Jan 8, 2021 #21 Proved said: Huu ni utani mbaya....acha hizo. Click to expand... Yaani bujibuju osofia kanifanya nicheke siku nzima mpka kawatoa mikia kwenye point
Proved said: Huu ni utani mbaya....acha hizo. Click to expand... Yaani bujibuju osofia kanifanya nicheke siku nzima mpka kawatoa mikia kwenye point
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 11,682 Reaction score 14,241 Jan 8, 2021 #22 KUCH KUCH said: Mo ni mdgo kwa simba kama hutumii akili. Simba wakat inacheza fainal ya CAF shirikisho Mo alikuwa wap? Jiulize. Simba timu kubwa DADADEK . Unateseka ukiwa wap Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app Click to expand... Wakati huo alikuwa baba yake ndio yupo
KUCH KUCH said: Mo ni mdgo kwa simba kama hutumii akili. Simba wakat inacheza fainal ya CAF shirikisho Mo alikuwa wap? Jiulize. Simba timu kubwa DADADEK . Unateseka ukiwa wap Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app Click to expand... Wakati huo alikuwa baba yake ndio yupo
K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,535 Reaction score 2,499 Jan 8, 2021 #23 Bujibuji said: Mara paap Mwamedi katutoka Click to expand... Dah sipati picha hapoo maana hali itakuwA zaidi ya tete
Bujibuji said: Mara paap Mwamedi katutoka Click to expand... Dah sipati picha hapoo maana hali itakuwA zaidi ya tete
K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,535 Reaction score 2,499 Jan 8, 2021 #24 Bujibuji said: Mara paap Mwamedi katutoka Click to expand... Bujibuji hebu jihadhari usijetolewa kafara na Hawa paka shume fc, Ila umenichekesha Sana.
Bujibuji said: Mara paap Mwamedi katutoka Click to expand... Bujibuji hebu jihadhari usijetolewa kafara na Hawa paka shume fc, Ila umenichekesha Sana.
KUCH KUCH JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 1,327 Reaction score 966 Jan 8, 2021 #25 kyata said: Dah sipati picha hapoo maana hali itakuwA zaidi ya tete Click to expand... Mara paa nawe unagongwa na gari. Unakufa na kuzkwa
kyata said: Dah sipati picha hapoo maana hali itakuwA zaidi ya tete Click to expand... Mara paa nawe unagongwa na gari. Unakufa na kuzkwa