Mara paaap!

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
13,481
Reaction score
28,116
Mara paap!mbunge wa ccm kamuwish happy birthday mange kimambi[emoji512][emoji480][emoji322][emoji322]
 
Ngoja niwahi mbele hapa kuuliza ni mbunge gani huyo?
 
Mbona hata Polepole kamuwishi..sembuse wabunge?

birthday haihusiani na siasa
 
Wala haina shida kumpa birthday wish
Ni kama mtu akifa unaandika RIP hata kama unamchukia
 
Mange ni CCM tena pure CCM kama ilivyokawaida ya upinzani kudhani kila apigaye kelele ni upinzani. Huyu bidada anainfluence sana huku jukwaa la upinzani atakapo geuka atatoka na vichwa kadhaa vitakavyo dhoofisha upinzani ni hii ni kuelekea 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…