Mara Paap! Leo ndiyo ikawa mwisho wa dunia, taja dhambi itakayokufanya uingie Jehanam

Mara Paap! Leo ndiyo ikawa mwisho wa dunia, taja dhambi itakayokufanya uingie Jehanam

Mngurimi

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
819
Reaction score
790
Habari za wakati huu wadau?

Kwa wale wanaomwamini katika dini haijalishi ya kikristo au kiislamu huwa kuna dhana fulani hivi ambayo hufanya watu waogope kutenda dhambi. Wengi wanaamini kwenye uwepo wa mwisho wa dunia (siku ya kiama) ambayo inaaminika kuwa adhabu zote za watenda maovu zitatolewa na Mungu kisha walio wema wataingia mahali salama.

Sasa ebu tuchukulie mfano yaani kufumba na kufumbua unasikia zile harakati zote ambazo kila siku tunazisikia yaani za mwisho wa dunia na ukaambiwa ndiyo mwisho wa dunia, hivi unadhani hapo ni dhambi gani itakufanya uingie Jehanam kwenye moto wa milele?

Mimi hii dhambi ya uzinzi hakika itafanya niwake moto😂😂😂😂, shusha dhambi yako hapo tucheke.
 
Kukutukana wewe maana umeandika upotolo
 
Na sisi wenye tiketi za huko tunaruhusiwa kukomenti au tusubiri tu kuwapokea na kuwaelekeza chocho zote za motoni..😅
 
Nitaenda mbinguni tu ila kwa mbinde.
Hata kama ntakuwa naosha vyombo vya sir God na kufagia uwanja wake freshi tu😅😅😅
 
Back
Top Bottom