Mara paap nimekuwa rasmi mwanaume wa dar...

Ha ha mi nimehama navyo mkuu..nimekodi kipisi!
Hilo ondoa shaka

Karibu mjini cha muhimu na kuyoendekeza anasa, hakikisha hukai mbali sana na ofisi yako..usije mjini ukapanga goba au maramba mawili halaf unafanya kazi city centre
 
Hata waliopigiwa stori na walioushindwa mji kwa oda ya Magufuli watajifanya wanaujua mji.
 
Jifunze kunywa Soda na Biscuits za 500/= Tena usizimalize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…