Mara paaap unajikuta umekua Mwanamke...
mara paap czani kama unajitambuaMara paaap unajikuta umekua Mwanamke...
SanaKukosa usingizi ni shida
Bado mbali sana, uwiiiii. wafungue hata leo mchanaBado wiki 4 na nusu shule zifunguliwe.
bumu limeisha?Alikiba kamuoa Zati make wa pili...
Diamond kamuoa Rihanna..
Rayvanny kamuoa Hamisa. .
Harmonize kamuoa Wema...
Esma kawa Msemaji wa Chadema...
Mama dangote kawa Waziri Wa Habari
Rugeee Kawa Mpiga Debe..
Aslay kawa Bodaboda..
Nandy kawa Mchungaji..
Billnas kawa Muuza Vyuuup..
.
Na nyingine...ongezea....
But Nawaza Future...ya Tangazania ya Viwounder....
Sorry