Mara team Diamond mara team Kiba......

LetterTo MyFather

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
308
Reaction score
661
Wabongo bwana kabla ya uchaguzi mada mitandaoni ilikuwa team Kiba na team Diamond mara ikaja boxing kila mtu team Mayweather wengine team Pacqiao pambano likaisha tukarudi tena kwenye team Kiba na Diamond mara wagombea wa CCM wakachukua fomu kila m2 team Lowasa wengne team Membe ghafla Membe na Lowasa wakakatwa chaguo la mungu magufuli likapeta kila mtu mwaka huu ccm wameweka mgombea mchapakazi wapinzani wakae tayari ghafla Lowasa kaenda chadema watu walewale wakatengana huku team magufuli kule lowasa wakaanza kuchukiwa wasanii wote wanaofanya kampeni na CCM wakasahau kama mziki ni kazi yao mimi ninachujua baada uchaguzi kuisha uenda rais akawa magufuli ama Lowasa baada ya hapo Diamond ataachia mzigo mpya Diamond ft Neyo wote watarudi tutaendelea na team zetu Kiba na Diamond na habari ya mjini itakuwa kolabo la Diamond na Neyo na fiesta 2015 LETS VOTE 4 DIAMOND # AFRIMA NA MTV EMA BILA KUJALI ITAKAD ZA VYAMA # AM OUT!
 
oyoooooo


TEAM DIAMOND PLATNUMZ,

Sema nin huyo anaotafuta kiki, kufuta vumbi kupitia mgongo wa PRESIDENT OF WCB unampa kiki tu hapo, hata blog uchwara zimemchoka kwa kujibebisha kwa Diamond hazimpost skuhizi si unaona hata alivyokuwa analalamika juz hapa..
 
Hata uchaguzi ukiisha hizi timu zimejifia taaratibu mana zilikua zina wa boost wote mparanganyiko umeingia tayari hata team Wema nayo sasa kwishney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…