LGE2024 Mara: Walioenguliwa uchaguzi Serikali za Mitaa waanza kurejeshwa, wananchi wapongeza

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mchengerwa alitekeleza agizo la chama bana, kupuuzia haya mambo madogo madogo maana demokrasia yetu ni changa

Kupata habari za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
====

Your browser is not able to display this video.

Pia soma: LGE2024 - TAMISEMI yaongeza muda wa kupokea Rufaa za Wagombea wa Serikali za Mitaa, yaagiza walioenguliwa kwa kutodhaminiwa na Vyama warejeshwe

Wananchi Mkoani Mara wameipongeza Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kukubali na kuwarudisha kwenye kinyang'anyiro baadhi ya wagombea ambao hawakupitishwa kutokana na sababu mbalimbali. Wamasema kitendo hicho kinaonyesha dhamira njema ya Serikali kuendesha Uchaguzi huru, wa haki na wa kidemokrasia.
 
Umakini wa Serikali sikivu na madhubuti ya CCM wawafurahisha waTanzania 🐒
 
Kwani ni akina nani walioengua, na Kina nani wanaorudisha?!
 
Hii ni drama mpya, wanawaondoa kisha wanawarejesha, baada ya hapo chawa wanapewa jukumu la kumpongeza mwenyekiti wao.
 
na hayo maeneo kwa hasira yatachukuliwa na upinzani, maana wananchi washajua hizo njama
 
Hao watakua ni ccm hakuna Mwanachama wa upinzani wa kupongeza ujinga wa namna hii , kwamba umearibu alafu upongezwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…