LGE2024 Mara: Wananchi walalamika majina kushindwa kusomeka, wakaa muda mrefu bila kupiga kura

LGE2024 Mara: Wananchi walalamika majina kushindwa kusomeka, wakaa muda mrefu bila kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Ndio upigaji unaandaliwa?



Baadhi ya mitaa katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara, wamelalamikia kutokuonekana na kusomeka vyema kwa majina yao katika orodha ya wapiga kura huku wakisema hali hiyo inachangia kuchelewesha zoezi la upigaji kura na watu kuendelea na majukumu yao.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Wapiga kura hao wanadai wamefika vituoni mapema, lakini muda mwingi wameupoteza katika kutafuta majina ambapo wamezishauri mamlaka husika kuhakikisha changamoto hiyo haijorudii wakati mwingine.
 
Back
Top Bottom