Watu wasiojulikana wamevunja ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Nyandewa na wengine kuiba masanduku ya kura na kutokomea nayo kisha kuyatelekeza porini huku watu watano wakikamatwa baada ya kukutwa na silaha mbalimbali, ikiwamo panga na visu kwa lengo la kufanya uhalifu katika zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wilayani Tarime mkoani Mara.
Soma Pia: MARA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024
Soma Pia: MARA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024