Mara ya kwanza kuwa na Uhusiano na Msichana wa Kitanzania. Tulishangaana sana. Ila alichofanya siwezi sahau

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Kipindi hicho ndio nimefika Tanzania toka Sweden kwetu. Nikakaa kaa hapa Dar mwishowe nikakutana na binti mmoja tukaanza urafiki. Siku nimemwambia kama hatojali awe girlfriend wangu akakubali nikamwambia then sasa naweza mfikisha hata home Oysterbay nakoishi.

Nlimwambia tukutane duka fulani la nguo kule Posta. Akaja nikamwambia achague nguo anazotaka na chupi n.k then abadilishe zile alizovaa aache tu pale pale then aniletee bill.

Tule dada maskini hakuchukua vitu vingi nakumbuka aliniletea bill tsh 2,700,000 tu. Nikamwambia akaongeze tena. Akaja na nyongeza ya 1,450,000. Anyway nikamwambia si mbaya.

Mimi huwa girlfriend wangu namwambia akachome nguo zake zote za mwanzo moto maana unaweza kuta alivaa chupi hiyo wakati anaenda kutana na mwanaume mwingine then siku hiyo anakuja nayo tena kwangu.

So huwa napenda nimnunulie kila kitu kipya anapoanza nami. Then namnunulia na dressing table akija home wakati wa kuondoka anapata kila kitu pale mafuta, poda, perfume n.k kila kitu.

Unajua wanawaume wengi Tanzania hawajui kulea mabinti msichana ukianza naye mahusiano anakuwa jukumu lako wewe ndo kama baba yake n.k. Mimi wengi hupenda wafungulia account ambayo nitakuwa namdumbukizia angalau 1,500,000 kwa mwezi ya matumizi madogo madogo.

Yule dada bahati mbaya nlimkuta si bikra. Ikabidi tukapime Aga Khan kule town. Tulipima halafu tukasubiri baada ya miezi mitatu tukaenda pima tena. Kipindi chote hicho nlikuwa hata sigusani naye mwilini, si kiss , si hug si nini. Ili kwanza tu confirm afya yake.

Nikampeleka kwa dr wangu bingwa wa magonjwa ya wanawake pale Aga Khan.akapimwa akakutwa ana UTI ikabidi nimtibie mpaka apone mpaka hapo nlikuwa nimeshakaa naye kama miezi 5 bila hata kugusana naye. Nikamwambia kuwa ametumia dawa za UTI asuburi mpaka sumu iishe mwilini ndo tutapima tena then tutafanya sex kwa Condoms ambazo nlitoka nazo UK kipindi hicho. Zile Condom moja inauzwa Tsh 500,000 ukivaa ni kama hujavaa kitu kabisa.

Basi nikawa naendelea tu kumjali na pia nlimpa dereva na gari ili asiwe anatembea juani na kubabuka ngozi maana nlimkuta amekauka ngozi na kupauka.

Nlimtambulisha pia kwa mtaalamu wangu wa vyakula(lishe) amwambie nini ale nini asile. Maana haya mambo ni ya muhimu kuzingatia siyo unakaa na mtu amekula vyakula vya mitaani anajamba inatoka harufu kali. So akawa anapewa chakula special.

Kipindi chote hicho nlimwambia no hug, no kissing, no sex, no touching kwa miezi sita nimemweka kwenye maangalizi. Then kila week anaenda kupimwa HIV, STDs, Malaria, Uti, pressure, Typhoid n.k kumwandaa siku ambayo tutafanya mapenzi.

Yule dada pamoja na mambo yote hayo alikuja nisaliti kipuuzi sana. Nlikuwa nimetoka zangu USA nimemletea zawadi kibao yupo home nimefungua yale masanduku akakuta pochi kibao, saa, viatu, sandals, chupi za kila aina, perfumes, nguo toka kwa designers wakubwa, chocolates kibao tu na mataka taka mengi then nikamwambia achukue na zile dolla 5,000 akawape wazazi wake.

Yule msichana alivyokuwa mpuuzi akanirukia kunikumbatia na kunikiss shavuni. Wakati nlimwambia hatufanyi hivyo mpaka ifike miezi 6 na hapo zilikuwa zimebaki siku 2 tu. Ndo siku ambayo alinisaliti na kuniumiza sana moyo wangu. Nikampa hivyo vitu nikamwambia sitaki tena mwona.

Ikawa ndo mwisho wa kuonana naye. kesho yake nlihama ile apartment maana nlihisi coz anapafahamu pale angekuja. Nikagawa na simu yangu na kununua nyingine na kubadili number ili asije ni trace nikaachana naye. Mpaka leo sijui yupo wapi yule dada.

Toka kipindi hicho sijadate tena wanawake wa kitanzania. Napenda nipate mtu mwaminifu. Awe anajielewa na kunielewa pia.
 
Dah mkuu kukumbatia na kukisi boss kiduku lilo ndio kakusaliti? Wenzio tunagongewa kabisa na natunaona Kama hakijatokea kitu vile
Miez sita yote wewe ulikuwa unavumilia vipi mkuu?

Kwa utaratibu wako huo unaweza unaweza kaa miaka hata 5 bila kumbato mkuu

Kapicha bas za hizo ndomu nam niagize mkuu hiz zetu tako mbil tu zimepasuka
 
Kipindi hicho ndio nmefika Tanzania toka Sweden kwetu. Nikakaa kaa hapa Dar mwishowe nikakutana na bint mmoja tukaanza urafiki. Siku nimemwambia kama hatojali awe girlfriend wangu akakubali nikamwambia then sasa naweza mfikisha hata home Oysterbay nakoishi.

Nlimwambia tukutane duka flani la nguo kule Posta. Akaja nikamwambia achague nguo anazotaka na chupi n.k then abadilishe zile alizovaa aache tu pale pale.then aniletee bill.

Tule dada maskini hakuchukua vitu vingi.nakumbuka aliniletea bill tsh 2,700,000 tu. Nikamwambia akaongeze tena. Akaja na nyongeza ya 1,450,000. Anyway nikamwambia si mbaya.

Mimi huwa girlfriend wangu namwambia akachome nguo zake zote za mwanzo moto.maana unaweza kuta alivaa chupi hiyo wakati anaenda kutana na mwanaume mwingine then siku hiyo anakuja nayo tena kwangu.

So huwa napenda nimnunulie kila kitu kipya anapoanza nami. Then namnunulia na dressing table akija home wakati wa kuondoka anapata kila kitu pale.mafuta,poda,perfume n.k kila kitu.

Unajua wanawaume wengi TZ hawajui kulea mabint.msichana ukianza naye mahusiano anakuwa jukumu lako.wewe ndo kama baba yake n.k. mi wengi hupenda wafungulia account ambayo ntakuwa namdumbukizia angalau 1,500,000 kwa mwezi ya matumizi madogo madogo.

Yule dada bahat mbaya nlimkuta si bikra. Ikabidi tukapime Aga Khan kule town. Tulipima halafu tukasubiri baada ya miezi mitatu tukaenda pima tena. Kipindi chote hicho nlikuwa hata sigusani naye mwilini,si kiss ,si hug si nini. Ili kwanza tu confirm afya yake.

Nikampeleka kwa dr wangu bingwa wa magonjwa ya wanawake pale Aga Khan.akapimwa akakutwa ana UTI ikabidi nimtibie mpaka apone mpaka hapo nlikuwa nmeshakaa naye kama miezi 5 bila hata kugusana naye. Nikamwamboa kuwa ametumia dawa za UTI asuburi mpaka sumu iishe mwilini ndo tutapima tena then tutafanya sex kwa Condoms ambazo nlitoka nazo UK kipindi hicho. Zile Condom moja inauzwa Tsh 500,000 ukivaa ni kama hujavaa kitu kabisa.

Basi nikawa naendelea tu kumjali na pia nlimpa dereva na gari ili asiwe anatembea juani na kubabuka ngozi maana nlimkuta amekauka ngozi na kupauka.

Nlimtambulisha pia kwa mtaalamu wangu wa vyakula(lishe) amwambie nini ale nini asile. Maana haya mambo ni ya muhimu kuzingatia siyo unakaa na mtu amekula vyakula vya mitaani anajamba inatoka harufu kali. So akawa anapewa chakula special.

Kipindi chote hicho nlimwambia no hug,no kissing,no sex,no touching kwa miezi sita nimemweka kwenye maangalizi. Then kila week anaenda kupimwa HIV,STDs,Malaria,Uti,pressure,Typhoid n.k kumwandaa siku ambayo tutafanya mapenzi.

Yule dada pamoja na mambo yote hayo alikuja nisaliti kipuuzi sana. Nlikuwa nmetoka zangu USA nmemletea zawadi kibao yupo home nimefungua yale masanduku akakuta pochi kibao,saa,viatu,sandals,chupi za kila ainq,perfumes,nguo toka kwa designers wakubwa, chocolates kibao tu na mataka taka mengi then nikamwambia achukue na zile dolla 5,000 akawape wazazi wake.

Yule msichana alivyokuwa mpuuzi akanirukia kunikumbatia na kunikiss shavuni. Wakati nlimwambia hatufanyi hivyo mpaka ifike miezi 6 na hapo zilikuwa zimebaki siku 2 tu. Ndo siku ambayo alinisaliti na kuniumiza sana moyo wangu. Nikampa hivyo vitu nikamwambia sitaki tena mwona.

Ikawa ndo mwisho wa kuonana naye.kesho yake nlihama ile apartment maana nlihisi coz anapafahamu pale angekuja. Nikagawa na simu yangu na kununua nyingine na kubadili number ili asije ni trace.nikaachana naye. Mpaka leo sijui yupo wapi yule dada.

Toka kipindi hicho sijadate tena wanawake wa kitanzania. Napenda nipate mtu mwaminifu. Awe anajielewa na kunielewa pia.
Hahahaha amka aisee usije ukakojoa kitandani
 
Kipindi hicho ndio nimefika Tanzania toka Sweden kwetu. Nikakaa kaa hapa Dar mwishowe nikakutana na binti mmoja tukaanza urafiki. Siku nimemwambia kama hatojali awe girlfriend wangu akakubali nikamwambia then sasa naweza mfikisha hata home Oysterbay nakoishi.

Nlimwambia tukutane duka fulani la nguo kule Posta. Akaja nikamwambia achague nguo anazotaka na chupi n.k then abadilishe zile alizovaa aache tu pale pale then aniletee bill.

Tule dada maskini hakuchukua vitu vingi nakumbuka aliniletea bill tsh 2,700,000 tu. Nikamwambia akaongeze tena. Akaja na nyongeza ya 1,450,000. Anyway nikamwambia si mbaya.

Mimi huwa girlfriend wangu namwambia akachome nguo zake zote za mwanzo moto.maana unaweza kuta alivaa chupi hiyo wakati anaenda kutana na mwanaume mwingine then siku hiyo anakuja nayo tena kwangu.

So huwa napenda nimnunulie kila kitu kipya anapoanza nami. Then namnunulia na dressing table akija home wakati wa kuondoka anapata kila kitu pale.mafuta,poda,perfume n.k kila kitu.

Unajua wanawaume wengi TZ hawajui kulea mabint.msichana ukianza naye mahusiano anakuwa jukumu lako.wewe ndo kama baba yake n.k. mi wengi hupenda wafungulia account ambayo ntakuwa namdumbukizia angalau 1,500,000 kwa mwezi ya matumizi madogo madogo.

Yule dada bahat mbaya nlimkuta si bikra. Ikabidi tukapime Aga Khan kule town. Tulipima halafu tukasubiri baada ya miezi mitatu tukaenda pima tena. Kipindi chote hicho nlikuwa hata sigusani naye mwilini,si kiss ,si hug si nini. Ili kwanza tu confirm afya yake.

Nikampeleka kwa dr wangu bingwa wa magonjwa ya wanawake pale Aga Khan.akapimwa akakutwa ana UTI ikabidi nimtibie mpaka apone mpaka hapo nlikuwa nmeshakaa naye kama miezi 5 bila hata kugusana naye. Nikamwamboa kuwa ametumia dawa za UTI asuburi mpaka sumu iishe mwilini ndo tutapima tena then tutafanya sex kwa Condoms ambazo nlitoka nazo UK kipindi hicho. Zile Condom moja inauzwa Tsh 500,000 ukivaa ni kama hujavaa kitu kabisa.

Basi nikawa naendelea tu kumjali na pia nlimpa dereva na gari ili asiwe anatembea juani na kubabuka ngozi maana nlimkuta amekauka ngozi na kupauka.

Nlimtambulisha pia kwa mtaalamu wangu wa vyakula(lishe) amwambie nini ale nini asile. Maana haya mambo ni ya muhimu kuzingatia siyo unakaa na mtu amekula vyakula vya mitaani anajamba inatoka harufu kali. So akawa anapewa chakula special.

Kipindi chote hicho nlimwambia no hug,no kissing,no sex,no touching kwa miezi sita nimemweka kwenye maangalizi. Then kila week anaenda kupimwa HIV,STDs,Malaria,Uti,pressure,Typhoid n.k kumwandaa siku ambayo tutafanya mapenzi.

Yule dada pamoja na mambo yote hayo alikuja nisaliti kipuuzi sana. Nlikuwa nmetoka zangu USA nmemletea zawadi kibao yupo home nimefungua yale masanduku akakuta pochi kibao,saa,viatu,sandals,chupi za kila ainq,perfumes,nguo toka kwa designers wakubwa, chocolates kibao tu na mataka taka mengi then nikamwambia achukue na zile dolla 5,000 akawape wazazi wake.

Yule msichana alivyokuwa mpuuzi akanirukia kunikumbatia na kunikiss shavuni. Wakati nlimwambia hatufanyi hivyo mpaka ifike miezi 6 na hapo zilikuwa zimebaki siku 2 tu. Ndo siku ambayo alinisaliti na kuniumiza sana moyo wangu. Nikampa hivyo vitu nikamwambia sitaki tena mwona.

Ikawa ndo mwisho wa kuonana naye.kesho yake nlihama ile apartment maana nlihisi coz anapafahamu pale angekuja. Nikagawa na simu yangu na kununua nyingine na kubadili number ili asije ni trace.nikaachana naye. Mpaka leo sijui yupo wapi yule dada.

Toka kipindi hicho sijadate tena wanawake wa kitanzania. Napenda nipate mtu mwaminifu. Awe anajielewa na kunielewa pia.
Kiduku Lilo kama Kiduku Lilo!
 
Back
Top Bottom