Mara ya kwanza kuwa na Uhusiano na Msichana wa Kitanzania. Tulishangaana sana. Ila alichofanya siwezi sahau

Siyo unakaa na mtu amekula vyakula vya mitaani anajamba inatoka harufu kali. So akawa anapewa chakula special.šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Pole sana Kwa Kusalitiwa Tajiri Kiduku Lilo

Kwa hiyo zile Kondom za laki tano ulizitupa au?
 
Uzi umejaa chupi chupi tušŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
napenda stor zako sbb for time being huwa najihisi ndo mimi mwenye hayo.maisha
 
Hivi vyuma bado vimekaza ua la? mbona watu hawalalamiki?
 
Hii Ni chachandu iliyochacha, Wala haina hadhi ya kuitwa chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…