Mara ya kwanza kuwa na Uhusiano na Msichana wa Kitanzania. Tulishangaana sana. Ila alichofanya siwezi sahau

tajiri wa JF embu nikopeshe sh. 500k nitakurudishia mwisho wa mwezi
 
Kiduku hebu tuache tuko kwenye msiba wa kitaifa.
 
Eeeeh bhanaaaa eeeh😂
 
Dah uzi tayari
 
Huyu mutu inabidi aamshwe asije kojoa kitandani wakuu
 
Huko kwenu Sweeden munazungumza kiswahili pia?
 
Ulimwambia akachome moto nguo alizokuwa anavaa wakati yupo na wengine,Ila ukasahau kumwambia hata K iliyokuwa ikitumika na wengine aichome moto,hapo tu nimekuona ..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…