Mara ya kwanza kuwa na Uhusiano na Msichana wa Kitanzania. Tulishangaana sana. Ila alichofanya siwezi sahau

huna tofauti na mmi siku hiyo naenda nyavuni kufunga magoli naogopa usajili fake kama sarpong
 
Duh, hatari sana, bonge la short story, uko vizuri, andika vitabu kaka..
 
Kwa thread kama hizi unakwepaje Covid kwa mfano??
 
Kwahiyo hapo atapata madola na michupi chupi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yupo Ghetto kashindia mihogo anahesabu mbao huku akitafakari siku atatoboa na kuwa tajiri ,ni ndoto za kawaida hizo yaani Ndoto kama Ndoto.
 
Kama huna kazi ,story za kubuni namna hii zunakuwa nying sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…