Jamani najua kila mtu hapa ana uhusiano na mwenza wake na wengine ndoa kabisa. Hebu tukumbushane siku ya kwanza kabisa unafanya ngono na mwenza wako wa kwanza kabisa hali ilikuwaje kuhusu wasiwasi/ uoga/ presha na mangineyo yalikuwaje?
mimi nakumbuka siku ya kwanza baada ya kuwa mtu kamili (achilia mbali za kinguo nguo) nilitokwa na jasho mpk demu akaniuliza una tatizo gani, ikabidi nimwambie ukweli kuwa sijawahi so baada ya hapo alinipa somo la kutosha halafu akawa ananitafuta mara kwa mara kunipa raha mpk nilipopata utaalamu ambao umenifanya nimekuwa mkongwe mpk leo
wengine walianzia mikono na Mbunju, Mawingu,Mbuni,Kisura, Gardenia hata Foma,
ni-PM nitakufundisha tena na kukuandikia na notisi kabisa halafu daftari la notisi nakupa lote lotehahaaaa! inanikumbusha mbali sana hii thread. zile aibu duh!
Jamani naomba msaada japo ni tofauti na topic hii, eti kama nkitaka kutuma msg kama hivi nafanyaje? mgeni kdg humu.
Mhhh!!!...kwa tuliochezwa hapa ni kaazi kwelikweli!!...halafu bahati mbaya wengine tulieanza nae ndo huyohuyo wife hadi sasa, na worse, ni member hapa!..huh!
Umo Mkuu... ulikuwa Honeymoon?!! kwa sredi hii naomba umezee komenti zako!!:hail:
Mashimo yapo mengi, kwa mara ya kwanza utataka kujua uanzie na lipi ....au ?