LGE2024 Mara ya Mwisho kuona Ushindi wa 100% ilikuwa Kwenye Uchaguzi wa Papa Francisco anayeketi Kitini pake Mtume Petro. Jana kwa CCM nimeona tena, hongereni

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nilikaa luningani kusubiri kama Moshi mweupe utaelekea Juu Mbinguni, na kweli ikawa hivyo na kumaanisha Mungu wa mbinguni amekubali Uteule wake Kwa 100%

Mara ya pili ndio jana katika Halmashauri mbalimbali za kijiografia ambako CCM wameshinda kwa 100%

Jumaa Mubarak 😀
 
Udini umekujaa kichwani mwako mpaka umepofuka akili na macho na kubakia ukiropoka na kukurupuka hovyo hovyo tu. Kwani wewe bila kuzungumzia habari za Udini na Dini yako huwezi kujenga hoja na ukaeleweka? Au maulanzi yanakuvuruga akili yako.
 
Wewe jamaa unapanda mbegu mbaya sana ila IPO siku mtakufa kama umbwa
 
Udini umekujaa kichwani mwako mpaka umepofuka akili na macho na kubakia ukiropoka na kukurupuka hovyo hovyo tu. Kwani wewe bila kuzungumzia habari za Udini na Dini yako huwezi kujenga hoja na ukaeleweka? Au maulanzi yanakuvuruga akili yako.
Ndugu Yako huyo mzee
 
Mara ya mwisho kwangu ulikuwa ni ule uchaguzi wa Saddam Hussein kabla haja popolewa na wenye nchi wakisaidiana na west na baadaye kumnyonga. Sijui ile 99% yake illishia wapi na hawakumtetea wakati wa unyongaji wake? Ipo siku inakuja hata hii 99% ya ccm itatupwa na walio chakachua yatawakumbuka ya Saddam Hussein.
 
Udini umekujaa kichwani mwako mpaka umepofuka akili na macho na kubakia ukiropoka na kukurupuka hovyo hovyo tu. Kwani wewe bila kuzungumzia habari za Udini na Dini yako huwezi kujenga hoja na ukaeleweka? Au maulanzi yanakuvuruga akili yako.
Usafwani Kanisa halijafika ndio sababu mnatawaliwa na Wanyakyusa Milele

Dadako amepata dhamana lakini hapo mahakama kuu?🐼🔥
 
Nilikaa luningani kusubiri kama Moshi mweupe utaelekea Juu Mbinguni, na kweli ikawa hivyo na kumaanisha Mungu wa mbinguni amekubali Uteule wake Kwa 100%

Mara ya pili ndio jana katika Halmashauri mbalimbali za kijiografia ambako CCM wameshinda kwa 100%

Jumaa Mubarak 😀
Tunajifunza mengi for instance nafuatilia VOA muda huu kupitia clouds nimegundua hata swala la uelewa kwa nchi yetu bado ni mdogo sana.wanamibia wengi wanaoulizwa kuhusu nani atashinda nafasi ya uraisi wanajibu tu we need a change kwa maana upinzani.pia najifunza namna uchaguzi wao ulivyo naona wako very transparent.karatasi za kuta zina rangi mbalimbali hata hizo ballot box pia ili kurahisisha kutochanganya kura tofauti na ilivyokuwa kwetu.
 
Back
Top Bottom