johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndugu Yako huyo mzeeUdini umekujaa kichwani mwako mpaka umepofuka akili na macho na kubakia ukiropoka na kukurupuka hovyo hovyo tu. Kwani wewe bila kuzungumzia habari za Udini na Dini yako huwezi kujenga hoja na ukaeleweka? Au maulanzi yanakuvuruga akili yako.
Usafwani Kanisa halijafika ndio sababu mnatawaliwa na Wanyakyusa MileleUdini umekujaa kichwani mwako mpaka umepofuka akili na macho na kubakia ukiropoka na kukurupuka hovyo hovyo tu. Kwani wewe bila kuzungumzia habari za Udini na Dini yako huwezi kujenga hoja na ukaeleweka? Au maulanzi yanakuvuruga akili yako.
Tunajifunza mengi for instance nafuatilia VOA muda huu kupitia clouds nimegundua hata swala la uelewa kwa nchi yetu bado ni mdogo sana.wanamibia wengi wanaoulizwa kuhusu nani atashinda nafasi ya uraisi wanajibu tu we need a change kwa maana upinzani.pia najifunza namna uchaguzi wao ulivyo naona wako very transparent.karatasi za kuta zina rangi mbalimbali hata hizo ballot box pia ili kurahisisha kutochanganya kura tofauti na ilivyokuwa kwetu.Nilikaa luningani kusubiri kama Moshi mweupe utaelekea Juu Mbinguni, na kweli ikawa hivyo na kumaanisha Mungu wa mbinguni amekubali Uteule wake Kwa 100%
Mara ya pili ndio jana katika Halmashauri mbalimbali za kijiografia ambako CCM wameshinda kwa 100%
Jumaa Mubarak π