Mara ya mwisho kwa Umeme kukatika eneo ulilopo ilikua lini ?

Mara ya mwisho kwa Umeme kukatika eneo ulilopo ilikua lini ?

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Hakika nawaza sana Maisha ya nyuma na ya sasa hapa Tanzania kuhusu swala la umeme,mabadiliko ni makubwa mno,mbali na hitilafu za kawaida kama Transformer kuungua na nguzo kukatika , swala la umeme kukatika limekua nadra sana , nasema sana ..hii nazungumzia experience yangu kwa mikoa ya Arusha ,Dsm,Moshi na Dodoma..,kote nimekaa sijapata kabisa tabu ya umeme kama enzi zetu zile.

Vip kwa maeneo mliyopo .



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeme wamejitahid kias chake kwenye miji mikubwa,, Kama Dsm,, Arusha,, Mbeya,, Dom
 
huku nilipo tangu asubuhi hakuna umeme na kila asubuhi umeme unakatika
 
Back
Top Bottom