Hakika nawaza sana Maisha ya nyuma na ya sasa hapa Tanzania kuhusu swala la umeme,mabadiliko ni makubwa mno,mbali na hitilafu za kawaida kama Transformer kuungua na nguzo kukatika , swala la umeme kukatika limekua nadra sana , nasema sana ..hii nazungumzia experience yangu kwa mikoa ya Arusha ,Dsm,Moshi na Dodoma..,kote nimekaa sijapata kabisa tabu ya umeme kama enzi zetu zile.