Mara ya mwisho lini ulimchekesha mpenzi wako?

amecheka asubuhi hii akati anapata cha afya...kimoko!..
mada ina mantiki...vidume tumezidi kuuchubua...
hata houseboy akiwa mcheshi km joti anabeba...
 

hapo pa muuza vyombo nimepapenda aise...
kuna wale wanaopita mtaani kuchekesha sh 300...
akikuta mkeo humchekeshi,basi atahamia aise kwako...
 

Kwangu vicheko na utani ni part and parcel ya maisha yangu ya kila siku! :biggrin:
Ila kwa vitu visivyo na msingi, huwa nakuwa mkali kweli kweli.
 
Mie napenda kucheka na yeye analijua hilo so tukiwa wote ni full kucheka sms ni burudan tosha,akipiga cm ndio kbs huwa natafuta mahali pa peke yangu nicheke kwa raha zangu lol!
Big up kwake hahahhahaha!
 
hapo pa muuza vyombo nimepapenda aise...
kuna wale wanaopita mtaani kuchekesha sh 300...
akikuta mkeo humchekeshi,basi atahamia aise kwako...
Aisee hao jamaa ni wakali kwenye hiyo sekta ya kuburudisha wake za watu!Ukizubaa tu,mkeo atakuwa anauziwa vibakuli daily!teh teh teh
 

Nani wanahusika kuchangia hii thread. He's or she's
 
nikiwa pamoja nae tu lazima afurahi
 
Mimi niko vere serious. Waifu ananiita shwazinega samtaim
 
Mi nshachoshwa na magunia alafu bado niwe na kazi ya mchekesha mtu,, aaa aende akawape ao wacheshaji,,,, kwahiyo unataka kuniambia,, Masanja,Mpoki,Joti,Mboto,Mtanga,Bambo,Senga,Majuto na wengine, wanawagonga sana coz wachkeshaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…