Mara yangu ya kwanza kunywa kahawa!!

Mara yangu ya kwanza kunywa kahawa!!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Nakumbuka kipindi nimekuja mjini pale sehemu nilipokuwa nakaa nje ya ile nyumba kulikuwa na kama kijisenta fulani hivi cha watu mbalimbali kukutana!wengine wanacheza drafti!wengine karata!!wengine bao!wengine pool table! Na wengine wanauza chipsi!wengine kahawa!wengine tangawizi!!sasa pale kulikuwa na wazee wa hekima wanakunywa kahawa mimivpale nikawa nawashaa hivi ni tam?

Maana anakunywa ikiisha anaweka ingine! Basi pale mtu mzima nikajipa ukakamavu kama mwenyeji nikasogea pembeni nikaiita lete kahawa!... bana mtu mzima nikapewa ile nimeweka mdomoni tuu.......lahaulaaaaaa.

Wakuu subirini kidogo nitawamalizia nimeitwa ofsini na mkuu wangu!!!!!
 
Siku ya kwanza niliomba sukari jamaa akabaki kanitolea macho!nikakausha huku nazuga na mluzi.
 
Back
Top Bottom