Wewe bado ni form one afu unataka uanze kuchagua combination ya PCM mapema hivyoBasi, miaka fulani nilikuwa nimeshawahi kufundishwa kubeti, lakini sikuwa nikibeti, Ila ile mechi ya PSG vs Chelsea fainali… ah! niliiona nitupiemo laki 1, nishinde 160K.
Nilijiona usiku ule nikilala na elf 60 nyepesi kuzidi kuchuma mapera, Nilijua nashinda tu!
Nikaenda nikafungua account kwenye kampuni moja ya kubeti, nikaingiza laki 1. Alafu nikaanza kufikiria kuwa kesho ninue majogoo ya lunch na dinner.
nikawa nimewasha TV mechi ikiwa inaelekea kuisha kipindi cha kwanza, LA HAULA sikuamini nachokiona !!
PSG walikuwa wamekandwa 3-0. Hii ilikuwa kama "game over" ila nikaamua kujipa moyo, "Labda kipindi cha pili watarudi,"
lakini unajua tena, Chelsea walivyokuwa hawana huruma, wakatupia tena moja zaidi. Nilijua basi, nikazima TV.
nikaenda kulala na kujiapiza “Siji kubeti tena, siwezi!"
Hiyo game ilikuwa ni over 2.5 (3+) salama zaidi. Ww ukaenda na direct win😂Basi, miaka fulani nilikuwa nimeshawahi kufundishwa kubeti, lakini sikuwa nikibeti, Ila ile mechi ya PSG vs Chelsea fainali… ah! niliiona nitupiemo laki 1 kwa PSG nishinde 160K.
Nilijiona usiku ule nikilala na elf 60 nyepesi kuzidi kuchuma mapera, Nilijua nashinda tu!
Nikaenda nikafungua account kwenye kampuni moja ya kubeti, nikaingiza laki 1. Alafu nikaanza kufikiria kuwa kesho ninue majogoo ya lunch na dinner.
nikawa nimewasha TV mechi ikiwa inaelekea kuisha kipindi cha kwanza, LA HAULA sikuamini nachokiona !!
PSG walikuwa wamekandwa 3-0. Hii ilikuwa kama "game over" ila nikaamua kujipa moyo, "Labda kipindi cha pili watarudi,"
lakini unajua tena, Chelsea walivyokuwa hawana huruma, wakatupia tena moja zaidi. Nilijua basi, nikazima TV.
nikaenda kulala na kujiapiza “Siji kubeti tena, siwezi!"
😂😂😂😂😂Wewe bado ni form one afu unataka uanze kuchagua combination ya PCM mapema hivyo
😂😂😂😂😂Si Bora betting.kiboko kindege 😃😃😃.
Ile ndo presha sasa
Kindege/aviator kinachezwaje?Si Bora betting.kiboko kindege 😃😃😃.
Ile ndo presha sasa
SIKUSHAURI HATA KIDOGOOO.Kindege/aviator kinachezwaje?