Maradhi hayo yapo, sijui ni ugonjwa gani. Picha inasisimua sana mwili. Wanaojua ni ugonjwa gani watujuze nina ndugu anao kma huo, ila hii imezidi sana.
Hakika Magonjwa ya kutisha namna hii ndo huwa yanafanya mimi kutokuwa mlalamikaji sana mbele ya Mungu na mbele ya watu maana Duniani kuna watu wenye shida kubwa kuliko mimi,Km nilikuwa ninaumwa nikiwaangalia watu wa namna hii ninapona kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.