Maradhi kama haya yanasabishwa na nini? Wajuzi wa afya najua mpo mtujuze maana inatisha hii hali!

Mhh pole yake..Kuna jirani yangu yeye nyama kubwa imeota shingoni,akapelekwa India na kuondolewa Ile nyama,baada Kama miaka 3 imeludi tena kwa kasi
.
 
Maradhi hayo yapo, sijui ni ugonjwa gani. Picha inasisimua sana mwili. Wanaojua ni ugonjwa gani watujuze nina ndugu anao kma huo, ila hii imezidi sana.
 
huwezi jua mpaka vipimo vifanyike.
kwa kukisia inawezekana ni kansa/saratani ... kuna seli zinatengenezwa bila mpangilio.
ua ni ugonjwa wa kurithi
 
Mmmh,acheni Mungu aitwe Mungu.Hali hiyo huwa inanifanya nijione mm si kitu!Ngoja dokta waje watueleze
 
Hakika Magonjwa ya kutisha namna hii ndo huwa yanafanya mimi kutokuwa mlalamikaji sana mbele ya Mungu na mbele ya watu maana Duniani kuna watu wenye shida kubwa kuliko mimi,Km nilikuwa ninaumwa nikiwaangalia watu wa namna hii ninapona kabisa.
 
Mh mmmmh masikini ya Mungu.
Eee Baba muonee huruma mja wako huyu umponye na maradhi yanayomtesa!
 
nilishaona hivi majuzi instagram kama huyo wanasema eti inaambukizwa kwa ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…