Maradhi ya mgongo...

Maradhi ya mgongo...

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
31,415
Reaction score
38,761
Habari wanajamii.

Wakuu,mimi nina mpedwa wangu,alijifungua kwa operation-baada ya kujifungua yalianza matatizo ya mgongo kidogo kidogo,akapuuza.

But siku za hivi karibuni tatizo limekuwa seriouse,anaweza akaa tu then akashikwa na maumivu makali mpaka yanatawanyika kwenda sehem zingine.unapojaribu kumkandamiza sehem za mgongo anadai yanapungua.

Sasa wakuu msaada hapa tatizo linaweza kuwa nini??na nini tiba yake.
 
Mwambie apunguze unene la pili asibebe vitu vizito tatu alale sehemu ngumu atapona ilinitokea hayo
 
Back
Top Bottom