Maradhi yasiyona tiba...................

Maradhi yasiyona tiba...................

Freetown

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
882
Reaction score
78
*Mgonjwa*: Daktari naumwa sana namoyona najisikia kufa kufa tu.
*Daktari*: Wewe ni mpenzi wa timu gani ya mpira wa miguu?
*Mgonjwa*: Kwa Tanzania mimi ni shabiki wa Simba na Ulaya mimi ni mpenziwa Arsenal
*Daktari*: Na unafanya kazi wapi?
*Mgonjwa*: Nilikuwa nafanya GTV, baada ya kufa nikapata kazi Paradise
HotelBagamoyo.
*Daktari*: Una akiba yoyote ya fedha benki?
*Mgonjwa*: Ndiyo, akiba
yangu yote ya fedha ipo DECI.
*Daktari*: Mmmh, unaishi wapi?
*Mgonjwa*: Naishi
mbagala karibu na kambi ya jeshi
*Daktari*: Subiri kufa maana hakuna tiba mbadala ya maradhi yako.
 
Kwako heshima kaka hii imetulia mbaya.....sipati picha unatoka mabibo (DECI) then ile unakaribia maeneo ya kizuiani unasikia.. BOOOOM

aaah ni usafi tu wa kawaida usiwe na shaka..
 
kwakweli imenifurahisha mwe! Yaani ikitokea ni kweli lazima upate huo ugonjwa
 
Imetulia lakini labda niongezee kidogo tu.....

Daktari: Ulimpigia nani kura kwenye uchaguzi uliopita?
Mgonjwa: JK
 
Back
Top Bottom