unaanzisha mada halafu unataka kucontro hadi post za washirik kwa sababu heading tu upo chaka mess hajashinda europa league yeye kashinda eufa champions leagueJibu kama umelewa. Issue ni koma tu hapo...
Acha siasa na kwenye hakuna
Kwani Title ipoje?
Una jibu kama ulivyo elewa as compared to messi. Na siyo lazima ku commentunaanzisha mada halafu unataka kucontro hadi post za washirik kwa sababu heading tu upo chaka mess hajashinda europa league yeye kashinda eufa champions league
Yaan imebidi nimuache tu maana nimegundua hajui chochote kuhusu mpira sanasana anaonekana anamshabikia Messi ndo maana mtu akimuongelea Ronaldo anakasirikaunaanzisha mada halafu unataka kucontro hadi post za washirik kwa sababu heading tu upo chaka mess hajashinda europa league yeye kashinda eufa champions league
Swali lina jieleza. Maomba ufafanuzi. Unaweza kujibu. Sasa kuleta hapa sifa eti ww ndie unajua zaidi, sijui messi hana chochote ni sifa za kitoto.Yaan imebidi nimuache tu maana nimegundua hajui chochote kuhusu mpira sanasana anaonekana anamshabikia Messi ndo maana mtu akimuongelea Ronaldo anakasirika
Jameni nimeona leo jarida moja online la nchini Spain kwa kifupi linasema Lionel Messi ameshinda CHAMPION CUP 4 na EUROPA CUP ila huyu Gwiji, Maradona hana hata moja....
Ila Maradona ana WORLD CUP 1?
Jameni wazee wa Historia ya mpira, Wazee wa mpira, wazee wa kumeza data, Dr. Leaky, Edo Kumwembe, Shaffi Dauda, Ulimwengu Sport, mkuje huku mnifafanulie hili!!
Yaan imebidi nimuache tu maana nimegundua hajui chochote kuhusu mpira sanasana anaonekana anamshabikia Messi ndo maana mtu akimuongelea Ronaldo anakasirika
Jameni nimeona leo jarida moja online la nchini Spain kwa kifupi linasema Lionel Messi ameshinda CHAMPION CUP 4 na EUROPA CUP ila huyu Gwiji, Maradona hana hata moja....
Ila Maradona ana WORLD CUP 1?
Jameni wazee wa Historia ya mpira, Wazee wa mpira, wazee wa kumeza data, Dr. Leaky, Edo Kumwembe, Shaffi Dauda, Ulimwengu Sport, mkuje huku mnifafanulie hili!!
Next time tuliza akili unapost vitu usaidiwe hakuna cha ujuaji wala ushabik.Sema hujui tu. Siyo kila kitu kuwa mjuaji
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Msamehe dogo ashapiga li faru john
Bado nakuita dogo hamna mahali nilipowazungumzia hao pia mi sio mshabik wao hao walishamaliza kila kitu wapo sayar yao ngumu kuwatenganisha huwa siwajadili hata siku moja niliacha mwaka 2008 baada ya kukubali uwezo wao hamna wa kutokea kwa sasa hizo level nipo kimya sipotezi muda kuwajadili.Na huna uwezo wa kujibu chochote, kwani ushabiki uko mbele zaidi...
Na Umessi vs Cr7 ...umesababisha ujipe upofu
Hebu nionyeshe ni wapi kwenye hii mada nimeandika Messi hana chochoteSwali lina jieleza. Maomba ufafanuzi. Unaweza kujibu. Sasa kuleta hapa sifa eti ww ndie unajua zaidi, sijui messi hana chochote ni sifa za kitoto.
Ila hata signature yako ni jibu toshaBado nakuita dogo hamna mahali nilipowazungumzia hao pia mi sio mshabik wao hao walishamaliza kila kitu wapo sayar yao ngumu kuwatenganisha huwa siwajadili hata siku moja niliacha mwaka 2008 baada ya kukubali uwezo wao hamna wa kutokea kwa sasa hizo level nipo kimya sipotezi muda kuwajadili.
Ndo mana nakwambia mess na ronaldo nawakubali sana hapo sina wa kumbagua napenda vitu vizur mess anajua na ronaldo anajua kwangu ipo hivyo wote ni wachezaj waliotimia na huwa sinaga mjadala nao nawapenda sana.Ila hata signature yako ni jibu tosha
Nimegundua kuwa wewe huna ubongoHizo zote kazipata akiwa ndani ya barcelona. world cup qualifying hata hapa bongo kuna waliowahi kufunga magoli. Kwa kifupi hakuna cha kujivunia hapo
Messi unamlinganisha na nani?Acha kuwa na mahaba na wanaume. Hapa suala ni ubora wa messi.