Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,456
Gwiji la Soka Duniani, Diego Armando Maradona anatarajiwa kushika Mikoba ya kukinoa kikinoa kikosi cha timu ya Taifa ya Argentina kuelekea Kombe la Dunia 2010 nchini Afrika ya Kusini.
You can imagine, akina Messi, aguero, Riquelme kwenye Bench la ufundi akiwemo El' Pibo mwenyewe
You can imagine, akina Messi, aguero, Riquelme kwenye Bench la ufundi akiwemo El' Pibo mwenyewe