Kama kuna kitu cha msingi alichofanya Maradona ni kumgeuza Lionel Messi kuwa playmaker na yeye kuwafungulia wenzake wafunge.
Think kama Rooney, Drogba, Ronaldo na wengine ambao ni strikers/forards wakicheza kama messi alivyocheza against South Korea!